hahahaha dah nimecheka sana
wakuu kweli lugha kiingereza ni kigumu sana ila cha muhimu ni kukazana ili na sisi tuweze kufahamu
imenkumbusha chuo,seminar room zilikuwa hazitoshiii during presentations,..changamoto kubwa kwa wengi ni lugha,uelewa wa kitu anachopresent na confidence...usiombe sasa mtu awe bishoo af kupresent shida,.