hahahaha dah nimecheka sana
Hee..umeniacha hoi kweli...umenikumbusha nilikuwa agakhan hospital sasa jamaa akataka kubill achukue kipimo kwa doctor..ndugu ilikuwa kazi na wale reception yani nilijisikia vibaya sana.ikabidi mwenzie ndio amweleze lakini kwa kubabaisha sana..tatizo ni shule zetu wengi wanajua kuandika lakini kujieleza awawezi confidence..ndio maana mtu katoboa chuo lakini kwenye interview anashindwa..kazi majungu tu maofisini wenzao wakiambiwawafanye presentation wanaweza..wao wanabaki kuongea chinichini..