Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
kwa ambao mmeenda chuo na mnaotarajia kwenda chuo nje ya Tanzania naomba mkazane sana kwenye English ya kuongea na kuandika.
nilishuhudia watu toka tanzania wakitia sana huruma kwenye presentation. wanaongea english mbovu sana adi inapelekea wakose ujasiri wa kusimama mbele.
jambo ilo lilinisikitisha sana kwa mtanzania kushindwa wakat wengine niliosoma nao toka china. mexico, said arabia, qatar,malaysia etc walikuwa wanajitaid japo walifundishwa secondary kwa lugha zao za ndani.
wito wangu kwa mnaosoma na mnaoenda chuo. English ni lazima ujue