watanzania wengi wanatia huruma kwenye presentation chuoni nje ya nchi.

kwa ambao mmeenda chuo na mnaotarajia kwenda chuo nje ya Tanzania naomba mkazane sana kwenye English ya kuongea na kuandika.
nilishuhudia watu toka tanzania wakitia sana huruma kwenye presentation. wanaongea english mbovu sana adi inapelekea wakose ujasiri wa kusimama mbele.
jambo ilo lilinisikitisha sana kwa mtanzania kushindwa wakat wengine niliosoma nao toka china. mexico, said arabia, qatar,malaysia etc walikuwa wanajitaid japo walifundishwa secondary kwa lugha zao za ndani.
wito wangu kwa mnaosoma na mnaoenda chuo. English ni lazima ujue

umenikumbusha
 
You have yet to grasp the fullness of the complexities entailing the symmetric humors of Kiranga.

Unaumia sana nikisema nilivyofanya.

Mie niliyesema sijui na sijui hata kama sijui siwezi kujinasibisha na kuelewa.

Huko kuwa inquisitive na vigorously challenging ndiyo kujinasibisha na kuelewa? Ndiyo pomposity hiyo?

Do you have an inferiority complex?

Huko ku balance narrative ili watu waone kwamba si wabongo wote hopeless ndiyo unaona kujinasabisha na kuelewa?

Unavyozidi kuelewa ndivyo unavyozidi kuelewa huelewi, sasa kujinasibisha na kuelewa kwa mtu anayeelewa hili ni kuelewa au kutoelewa?

Kati yangu na wewe unaye dismiss quotes zangu summarily nani pompous?

Hivi ushawahi kujiuliza kama sababu pekee inayokufanya unichukie ni kwa kuwa unataka kuwa mimi ila huwezi?

Wewe uniongoze mimi kwa ujiko gani ulio nao?

Unajua sana habari za midoli, thats not kosher kwa marijali.

You are getting pompous on someone you accuse of being pompous, and at the same time you purport to abhor pomposity.

What a two bit hypocrite!

Ha ha haaaaa! !!!!!!!!

1. Naumia na wewe ulivyofanya!!!
Ulifanya nini kubwa wewe kwa kutimiza uanafunzi wako???!! We nioikiambia ni mshamba kwa sababu hizi yaani kuongea na prof baada ya kusoma na kulewa nini cha ajabu mtu asiye na uwezo ndio hujisifu kwa kitu hiki,masters classes hiyo ndio daily routine mnagawiwa topics unaenda kuandaa presentation na kuwasilisha mada the whole of course work ni hiyo tu sasa wewe umechukulia kama special case. Kawaida saaaaana hiyo isiwe kama mfano majukwaani ni kama mtoto wa kiume kujisifu kakojoa huku amesimama!!!!!

2. Inferiority complex!!!
Wewe ndo wa kunifanya mimi inferior thubutu yaaaaako kwa.hii english yako au nini,mbona ni oxford standard tu bwana majidai,vocabulary gani haipo kwa dictionary???!!! I dare you shule huna. ..mwepesi wa hoja mjanja wa maneno tu nyie chuo tuliwaita CNN maana hiyo channel hata anayesoma utabiri wa hali ya hewa kizungu kinapanda sasa kunani hapo kama sio mazoea????!!!

3. Kubalance story na wabongo kuwa hopeless!!!
Mtoa mada katoa tahadhari wewe badala ya kushauri cha kufanya unatuletea narative isaidie nini na hitimisho lako halikuwa na jinsi ulivyofika hiyo level ya kujua kubishana kwa lugha hiyo!!!!Methodology gani ilitoa matokeo hayo????Hapo ingekuwa na maana ila kutuambia ulipewa A inasaidia nini wadogo zetu kujua lugha..na hapo ndio ulipofit kwenye hilo neno hopeless squarely!!

4. Mimi kuwa wewe!!!!
Hapo wenye busara watapima kwa mjadala huu na watajua nani anatamani kuwa nani!!!

5. Midoli urijali na hypocricy

Viwanda vya midoli wafanyakazi wote wasichana eenh???? Responsible? ???fathers hawawanunulii daughters wao midoli???? Rijali hapo mr never told ukurasa huu na wasomaji wake hawana jinsi ya kujua kati ya mimi mwanaume na wewe nani ni nani,ila kwa kudhani unaonewa wivu hili wazo tu ni indicator.

Hypocrite sio wewe kweli unayebadili mada kutoka kwenye lugha na kuleta hoja ya wabongo kuwa hopeles ili upate avenue ya kuleta misifa ya kitoto ambayo wala haina tija kwa mada husika.Hebu soma tena main thread na usema wapi kuna neno hopeless wabongo????!!!!!
 
Sasa kwa nini unatokwa povu kama si kubwa? Mimi mwenyewe wala sikuona kubwa.Ningeona kubwa ningekuja kuliripoti mwenyewe siku hiyo hiyo kwa kulianzishia thread. Lakini nililiona la kawaida tu. Nikaona mdau katoa mada ambayo ina relate na ile experience yangu nikatoa experience yangu. Ndiyo maana ya forum.Kila mtu anatoa mchango wake, mnapata a balanced narrative.Sio mdau anasema wabongo mnapata tabu na Kiingereza vyuoni wakati kuna wabongo wengine sio tu hatupati tabu, bali tunachachafya. Sasa hapo unayeona kitu cha ajabu ni wewe uliyetokwa na povu mpaka kunishikia bango, wakati ni jambo la kawaida tu.

Hapo sijakwambia nilipotoa lecture la Bing Bang theory high school mpaka mwalimu mwenyewe akasema hajawahi kusikia habari kama hizo!

Huja address issue kwamba una inferiority complex. Unazidisha tu kuionesha, sijui english oxford cnn, wewe ushaona hivyo ni vitu vya ajabu wakati watu tume rock ABC since Peter Jennings, bongo, wewe unaongelea CNN!

Mie nimetoa a very simple experience, wewe unayetaka methodology ndo unayetaka kuipandisha na kuifanya iwe Ph.D thesis sasa. Halafu wewe unayesema "nini cha ajabu" ndiye unataka nitoe na methodology.Ukishataka na methodology ushakubali hiki kitu fulani si cha kawaida. Mimi siwezi kutoa methodology, kwa sababu naona kitu cha kawaida tu, na siwezi hata kushangaa nikisikia mbongo mwingine anakuja na a similar experience, anawapa moyo wanaokuja kusoma kwamba si kitu cha ajabu.

Unataka methodology leo wakati watu tumeanza kuandaliwa tangu kindergarten?

Methodology yangu nikikwambia nilikuwa najichanganya na Marines Toure Drive utaniambia nini? Nikikwambia nilimaliza "War and Peace" back and forth twice by 15 utasemaje?

Kisu kimegusa mfupa, umeumia mpaka umeshindwa kujibu.

Nenda kacheze na midoli mimi si saizi yako.

How could the narrow minded and one track minded witness and learn from the vicissitudes and fluid flow of ideas that an online forum presents us with? When will they stop salivating and wishing they were editor in chiefs of some party magazine that would enable them to censor any "letter from readers"?

You wish you could put a stop to my hopeful narrative with your negative gibberish.

Again, per Guru.

The truth is, you wish you could live, the life that I live, kick the lyrics I kick, but bear in mind that you can't think as quick.

Mtu mwenyewe kuingia mtandaoni mpaka uvizie mara moja kwa saa 48, hata kama nataka kujibizana nawe unanikata stimu tu.

Kajaze credit kwenye kikoroboi chako, usipoangalia ntakumalizia bajeti yako yote bure.
 
Hahahaha,

Umenikumbusha enzi zangu.

Mwaka wa kwanza nilimletea mzozo Profesa wa Philosophy na kelele za atheism/ far left, mpaka ikawa noma kama nataka ku dominate darasa.

Kila siku ligi darasani, si miswali, mwalimu neocon far right libertarian halafu judge and author, mie super liberal leftie atheist, total opposites. Nikaona huyu siku ya mtihani wa mwisho lazima anifelishe, lakini namtilia ngumu.

Kufika wiki ya mtihani wa mwisho wa semester kaniambia "wewe usije kwenye mtihani, class participation yako ishakupasisha darasa".

Nikamuuliza sasa utanipimaje? Utanipa maksi gani?

Akaniambia ubishi wako wa darasani kila siku na coursework ushapata A kwenye somo langu, ule ubishi ulikuwa umezama kwenye falsafa kubwa kuliko ya darasa hili. Mimi nilikuwa naona ule ubishi kama naharibu, kumbe kinyamwezi mwanafunzi mbishi vile ndio anaonekana anafuatilia mambo. Mwalimu anasema you did your readings, bila kusoma usingekuwa na cha kubisha. Na ulikuwa unatoa classic arguments.

Nikaona kweli mnyamwezi hana hiyana, bongo ukibishana na profesa darasani si anakufelisha kabisa?

Kwa hiyo nashukuru mimi sijawahi kuwa na tatizo la presentation na kujieleza.

Kama kuna wabongo wengi wana tatizo hilo, tupo wengine tunawakilisha.

Kumbe unajua kiswahili wewe jamaa
 
kwa ambao mmeenda chuo na mnaotarajia kwenda chuo nje ya Tanzania naomba mkazane sana kwenye English ya kuongea na kuandika.
nilishuhudia watu toka tanzania wakitia sana huruma kwenye presentation. wanaongea english mbovu sana adi inapelekea wakose ujasiri wa kusimama mbele.
jambo ilo lilinisikitisha sana kwa mtanzania kushindwa wakat wengine niliosoma nao toka china. mexico, said arabia, qatar,malaysia etc walikuwa wanajitaid japo walifundishwa secondary kwa lugha zao za ndani.
wito wangu kwa mnaosoma na mnaoenda chuo. English ni lazima ujue

Asante kwa uzi huu mdau..actually ni aibu/majanga! Mi kinachonsikitisha zaidi ni pale mtu anakua hajui jicho kiingeleza lakn hataki kutambua hilo wala ku improve. Hivi jamani mtu unafaulu PCM na division 1 au 2, utashindwaje kujifunza kiingeleza?? Kulaumu shule uliyosoma sio sawa hata kidogo. Naamin unaweza kujifunza hata kwa kusoma tu magazet na kusikiliza redio/kuangalia TV kwa kufuata wenzako wanavyoongea/kupangilia maneno.
 
I'm running out of popcorn! ..........................will be right back.
Cheers!
 
Heri yetu sie wabeba maboksi proper. Hatuna mambo ya kuwasilisha mada wala term paper.

Ni mambo ya kupinda mgongo tu na yes - no, bhaaaas.

Kila Ijumaa ikifika unaenda zako kuchukua paycheck yako halafu huyo...destination Walmart MoneyCenter kui-cash.

Mkuu shida yote ya kwenda ku cashout walmart ya nini? si unge set direct deposit kwenda kwenye account ya mamaa akutunzie pesa yako, si unajua wao wana vipaji vya kutunza pesa. hahahaha...........just joking.
 
nenda ukasoma marekan harafu kuwe na presentation lazima aja ndogo na kubwa zikutoke. we sema hivo tu
kujua lugha si kigezo cha kuonyesha umesoma ila ukisoma nje lugha kuu ni english lazima uijue

Unachosema ni sawa. Lakini lugha huwa haijalishi sana kwenye presentation esp. za engineering and the like, kama unakijua vizuri unacho present, hapo hauhitaji kujua english saaana. Tatizo huwa linakuja pale ambapo hukijui vizuri unacho present, hapo ndio mara nyingi english inapojalisha. Na hata ukiambiwa u present kwa kiswahili pia bado unaweza usieleweke kwa sababu hujiamini na hujajiandaa na hujaiva vizuri kwenye mada unayo wasilisha.
 
Sasa kwa nini unatokwa povu kama si kubwa? Mimi mwenyewe wala sikuona kubwa.Ningeona kubwa ningekuja kuliripoti mwenyewe siku hiyo hiyo kwa kulianzishia thread. Lakini nililiona la kawaida tu. Nikaona mdau katoa mada ambayo ina relate na ile experience yangu nikatoa experience yangu. Ndiyo maana ya forum.Kila mtu anatoa mchango wake, mnapata a balanced narrative.Sio mdau anasema wabongo mnapata tabu na Kiingereza vyuoni wakati kuna wabongo wengine sio tu hatupati tabu, bali tunachachafya. Sasa hapo unayeona kitu cha ajabu ni wewe uliyetokwa na povu mpaka kunishikia bango, wakati ni jambo la kawaida tu.

Hapo sijakwambia nilipotoa lecture la Bing Bang theory high school mpaka mwalimu mwenyewe akasema hajawahi kusikia habari kama hizo!

Huja address issue kwamba una inferiority complex. Unazidisha tu kuionesha, sijui english oxford cnn, wewe ushaona hivyo ni vitu vya ajabu wakati watu tume rock ABC since Peter Jennings, bongo, wewe unaongelea CNN!

Mie nimetoa a very simple experience, wewe unayetaka methodology ndo unayetaka kuipandisha na kuifanya iwe Ph.D thesis sasa. Halafu wewe unayesema "nini cha ajabu" ndiye unataka nitoe na methodology.Ukishataka na methodology ushakubali hiki kitu fulani si cha kawaida. Mimi siwezi kutoa methodology, kwa sababu naona kitu cha kawaida tu, na siwezi hata kushangaa nikisikia mbongo mwingine anakuja na a similar experience, anawapa moyo wanaokuja kusoma kwamba si kitu cha ajabu.

Unataka methodology leo wakati watu tumeanza kuandaliwa tangu kindergarten?

Methodology yangu nikikwambia nilikuwa najichanganya na Marines Toure Drive utaniambia nini? Nikikwambia nilimaliza "War and Peace" back and forth twice by 15 utasemaje?

Kisu kimegusa mfupa, umeumia mpaka umeshindwa kujibu.

Nenda kacheze na midoli mimi si saizi yako.

How could the narrow minded and one track minded witness and learn from the vicissitudes and fluid flow of ideas that an online forum presents us with? When will they stop salivating and wishing they were editor in chiefs of some party magazine that would enable them to censor any "letter from readers"?

You wish you could put a stop to my hopeful narrative with your negative gibberish.

Again, per Guru.

The truth is, you wish you could live, the life that I live, kick the lyrics I kick, but bear in mind that you can't think as quick.

Mtu mwenyewe kuingia mtandaoni mpaka uvizie mara moja kwa saa 48, hata kama nataka kujibizana nawe unanikata stimu tu.

Kajaze credit kwenye kikoroboi chako, usipoangalia ntakumalizia bajeti yako yote bure.

:focus::focus:

Leo utatoa tu

1. Swali la kwanza umejibu vizuri kumbe ni kupitia kusoma vitabu na kurudia mpaka uka comprehend tena ulivyo nanga kitabu kimoja twice na kiliitwa war and peace!!!!! Si nilikuonya wewe ni slow learner na sasa umeelewa mjadala ulitaka nini badala ya mastori kwanza facts halafu mfano au inspiration story...eloquence safiiiii.

2. Uliandaliwa tangu kindergatten guuuuud boy deductively ni kwamba watoto waandaliwe mapema katika suala la lugha hii ndo wadogo zetu hapa wanaelewa sasa the early the better sasa ulikuwa unambwela nini wewe..oonh sorry slowminded might be sezondary to birth complication not your fault again!!!!!!

3. Possibly ulijichanganya na marrines..boasting is real in you fella!!!! Kwa hiyo ni suala la practice pia kwamaba wakae na watu fluent ili wapate kuzungumza lugha husika kwa muda mrefu mazingira tofauti na watapata vocs and good accent!!!!!

Hii tuliita probing wakati tunafundishwa scrutiny mjanja wa maneno unatulia naye ataleta story weeeeee lakini kwa kuwa unajua unachotaka you get them minds swing to an extent that the motion controlls itself no need of truth serum!!!!! Just let the nuts go loose one after another...it took time but finally the big boy puked!!!!!

Hope wadogo zetu wataona hiyo njia kwa wanaotaka kujifunza.

Mambo ya editor sijui socratic method mara Guru eeeenh Mohamed Ali,rijali kafanyaje sijui,baba yako mbio za mwenge,kicking the lyrics were all junky! !!!!!!!!!! Jaza credit sijui kikoroboi chako,intaneti ya ku beep yaaani full madoido you cant hit the bull straight and shake off????? Msomi gani huna focus ya majadiliano you are all over the world...wetting all table mats with your saliva aaaaaaaaaargh whta a way of talking???!!!!

Thanks for your time na hivi ndivyo mambo huwa...sasa badili mtazamo na attitude hamira nyiiiiingiiiii sana wakati unga mdogo!!!!
 
Mmh aisee
 
Eeeh nianze kujinoa wapi jamani
CC Kiranga,Nyani Ngabu
 
kwan hao wa nje c wana present kwa lugha yao sasa kwann wasiwe na confidence?? Mm nimekulia kijijin nikawa najua lugha ya kabila lang zaid kuliko hata kiswahili, baadae nikizanza primaly nakutna na lugha mbili, kiswahili na kiingereza, kiswahili kintumika muda woooote darasan lakin kiingereza mpka mwl aiangie, hebu niambie ww utamaster lugha gan faster zaid, sasa mzungu anakulia kwenye kiingereza kwann ashindwe sasa!?? Tena ungewapa hongera Watanzania
 
:focus::focus:

Leo utatoa tu

1. Swali la kwanza umejibu vizuri kumbe ni kupitia kusoma vitabu na kurudia mpaka uka comprehend tena ulivyo nanga kitabu kimoja twice na kiliitwa war and peace!!!!! Si nilikuonya wewe ni slow learner na sasa umeelewa mjadala ulitaka nini badala ya mastori kwanza facts halafu mfano au inspiration story...eloquence safiiiii.

the joke is on you Jack.

Barzun kasoma "War and Peace" twice. Unaweza kusema Barzun is a slow learner. Scratch that, you have to Google Barzun to even know what I am talking about!

2. Uliandaliwa tangu kindergatten guuuuud boy deductively ni kwamba watoto waandaliwe mapema katika suala la lugha hii ndo wadogo zetu hapa wanaelewa sasa the early the better sasa ulikuwa unambwela nini wewe..oonh sorry slowminded might be sezondary to birth complication not your fault again!!!!!!

What gibberish is this? "kindergatten" "sezondary", learn to spell or something!

3. Possibly ulijichanganya na marrines..boasting is real in you fella!!!! Kwa hiyo ni suala la practice pia kwamaba wakae na watu fluent ili wapate kuzungumza lugha husika kwa muda mrefu mazingira tofauti na watapata vocs and good accent!!!!!

WTF are you conyeying here?

Sio tatizo lako, ni ukosefu wa protein ubongoni ukiwa mdogo.

Hii tuliita probing wakati tunafundishwa scrutiny

Wewe usiyeweza ku spell utaweza scrutiny? Rudi chekechea kafute kamasi za ubongo.

mjanja wa maneno unatulia naye ataleta story weeeeee lakini kwa kuwa unajua unachotaka you get them minds swing to an extent that the motion controlls itself no need of truth serum!!!!! Just let the nuts go loose one after another...it took time but finally the big boy puked!!!!!

Usiparamie wanaume, wengine nuts zao zita go loose in your mouth.

Hope wadogo zetu wataona hiyo njia kwa wanaotaka kujifunza.

Mambo ya editor sijui socratic method mara Guru eeeenh Mohamed Ali,rijali kafanyaje sijui,baba yako mbio za mwenge,kicking the lyrics were all junky! !!!!!!!!!! Jaza credit sijui kikoroboi chako,intaneti ya ku beep yaaani full madoido you cant hit the bull straight and shake off?????

Nita hit the bull straight wapi wakati hamna kitu?

Ukiparamia wanaume wata shake of mdomoni mwako.

Msomi gani huna focus ya majadiliano

Wapi nimesema mimi msomi?

you are all over the world...

Like Luda on steroids, na wewe unabakia kijijini kwako tu.

wetting all table mats with your saliva aaaaaaaaaargh whta a way of talking???!!!!

Unajaribu kwa nguvu sana kuwa kama mimi lakini huwezi, "wetting all table mats with your saliva" ndiyo bad direct translation ya joke gani ya kilugha chenu?

Thanks for your time na hivi ndivyo mambo huwa...sasa badili mtazamo na attitude hamira nyiiiiingiiiii sana wakati unga mdogo!!!!

Acha kuparamia wanaume. "Thank you for your time", you sound like a little byach caught up between hating and thanking Kiranga.
 
She goes to school, goesn't she? You took my book, tookn't you?
 
Ulidhani hao mataifa mengine wanaongea vyema kiingereza kuliko watz kwa sababu kisaikolojia umeathirika kwamba watu weupe wanaongea kiingereza vizuri lakini amini watz wana kiingereza kizur kuliko hao wachina na waarabu, nyie ndo mna ona inzi wakubwa mnasema ni wakizungu, kuwa makini ushauri wako ni mzur kwamba watz tuboreshe lugha, lakini siamin unavyosifia hao wengne kama ni kweli nadhan umeathirika tu kwamba weupe watakuwa na lugha nzur.
 
Ndugu yangu Money Stunna,
Nimeguswa na mada yako ulowasilisha kwa wana jf. Napenda nami nichangie kama ifuatavyo. Awali ya yote napenda nitoe mwelekeo wa mawazo yangu. Siko hapa kwa kumubeza Mtanzania mwenzangu ila napenda kusema ninayoyajua na kuyafahamu kadri ya uelewa wangu.
Ni ukweli kabisa lugha hii ( english) imekuwa ni tatizo tuwapo ndani na hata nje ya nchi. Mfano nakumbuka kipindi nikisoma shahada. 1. Pale UDSM: ukweli hata mimi mwenyewe nilikuwa na shida kubwa sana na nilikuwa nikiwaza walau nipate msaada wa mafunzo ya lugha ya kiingereza. Kibaya zaidi ni kwetu wale tuliosoma na tunaosoma masomo ya sayansi yaani hali huwa ni tete. 2. Nakumbuka kipindi tukisoma Makerere hapo ndo tuliaibika sana katika kipindi cha kuwasilisha RESEARCH PROPOSALS. 3. Baada ya kufika Yale university, ilibidi tupewe special trainning kwa sababu hata ile english profiency hawakuiamini.

Kwa hiyo, ndugu zangu Watanzania napenda kusema hivi, lugha hii inahitajika sana ili kuendana kimataifa. Jambo tunalosifiwa Watanzania ni CONTENTWISE, TUNAJUA SANA ( PAPER-PEN). Tatizo ni ku-deliver ( in spoken). Yatupasa tukazanie lugha hii jamani ili Kimataifa tukubalike. Wakuza mitaala, ni vyema wakaliona hili na ni muda muafaka bila kificho kukisaidia kizazi kilichoko shule sasa ili kujenga Taifa litakalo endana na soko kimataifa.
 
Back
Top Bottom