Watanzania wengi wetu elimu haijatusaidia, hadi suala hili linapoibuka kuleta ufahamu kwa wasomi

Watanzania wengi wetu elimu haijatusaidia, hadi suala hili linapoibuka kuleta ufahamu kwa wasomi

dorge

Senior Member
Joined
Feb 7, 2025
Posts
118
Reaction score
186
Wasomi wengi nchi hii elimu haijawasaidia, wapo baadhi na mimi binafsi wanyooshea mikono.

Makundi mawili elimu imewasaidia,

1. Walioamua kukaa pembeni na kufanya siasa. Ni katika kundi hilihili wanaharakati mbalimbali hawa Allah ataweka mbali na moto inshaalah. Hapa hawamo watu kama au jamii ya kina mtatiro, yule mzee wa escrow waliolambishwa wakafia kwenye asali. Hapa ondoa huyu ndugu Dr. Mjanjamjanja

2. Walioamua kujiajiri nao ni watanzania waliofanikiwa. Hawali cha mtu bali jasho lao.

Haya makundi mawili ndiyo pekee haya Allah yakitenda hali Mungu atawaafu.

Hakuna hata mwanasiasa mmoja anayestahili hata harufu ya peponi. Hasa watawala.

Wakati kule kijijininshule ina walimu mawili, manesi watano, kitua cha polisi hakuna, mahakama ni mali ya wenye uwezo, hali hii tunasema elimu imesaidia?

Leo mwalimu wa msingi, sekondari ya kati na juu wamesomea ualimu ndio wafanye kazi ya kuokoa makundi yooote kuwastua kuwa nchi inaangamia, inatengeza mabomu.?

Serikali ni mifumo, so tuseme mfumonwa Serikali ya magufuli ulikuwa dhaifu au imara, hizi Serikali ni mali ya Rais?

Ujenzi madude ya kifahari na anasa badala ya kujenga uchumi ni msomi yupi atakosoa ujenzi wanuchumi badala ya daraja la Tanzanite? Lilikuwa na haja ipi. Sgr ilikuwa na umuhimu??

Kujengea marais nyumba is It necessary?

Kuagiza Ma v8 is it necessary?

Nchi hii imekufa au naota, kwa namna tunavyoishi kienyeji ni dhahiri ni matokeo ya mtaala bubu. Elimu haimsaidia mtanzania. Kama unahoja angalia wasomi walivyoo kwenye siasa na zaidi ni chama kinachoongoza Serikali ili waendelee kula wakisubiri kufa.

Kwa sasa angalia ukiongea na kuonekana unatekwa. Hii ni kama ndoto
 
Back
Top Bottom