Watanzania wengi wetu huwa tunasahau mashujaa

carnte

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2017
Posts
362
Reaction score
425
Hivi huu mziki Wa bongo kwenda nje na heshima yake...hatuoni mchango Wa Diamond...wale Vijana Wa wasafi he...?
Mtatufanya kuitwa watanzania tuone aibu

carnte himself
 
Hapa Tanzania fanikiwa utawajua maadui zako. Kanumba alichukiwa sana na wenzake. Leo amekufa..wamepoteana. Wamebakiza umalaya tu na njaa tu.
Yaani naogopa kusema sisi wapumbavu...hatujui kuthamini vyetu...yaani ni aibu Leo watu wanaomba kampeni kabisa...aibu yetu...halafu inakuwaje

carnte himself
 
Hapa Tanzania fanikiwa utawajua maadui zako. Kanumba alichukiwa sana na wenzake. Leo amekufa..wamepoteana. Wamebakiza umalaya tu na njaa tu.
Hili pengo bado halijazibwa, cna hata mzuka wa kuwaangalia hizi Uongo movie.. Hazina mvuto tena, yule jamaa acha kabisa. R.I.P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
At least i can read a post from somebody who thinks outside of the box! Mchango wa Alikiba ni Mkubwa sana kwenye muziki wa Bong Fleva lakini aliyefanya kazi ya kuipeleka Bongo Fleva viwango vya Kimataifa Diamond hana mpinzani...Namuheshimu sana kwa hili. ()

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi ni mazwazws ...hao hao timu Kiba wanalaumu taifa stars

carnte himself
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…