Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani naogopa kusema sisi wapumbavu...hatujui kuthamini vyetu...yaani ni aibu Leo watu wanaomba kampeni kabisa...aibu yetu...halafu inakuwajeHapa Tanzania fanikiwa utawajua maadui zako. Kanumba alichukiwa sana na wenzake. Leo amekufa..wamepoteana. Wamebakiza umalaya tu na njaa tu.
Hili pengo bado halijazibwa, cna hata mzuka wa kuwaangalia hizi Uongo movie.. Hazina mvuto tena, yule jamaa acha kabisa. R.I.PHapa Tanzania fanikiwa utawajua maadui zako. Kanumba alichukiwa sana na wenzake. Leo amekufa..wamepoteana. Wamebakiza umalaya tu na njaa tu.
Sisi ni mazwazws ...hao hao timu Kiba wanalaumu taifa starsAt least i can read a post from somebody who thinks outside of the box! Mchango wa Alikiba ni Mkubwa sana kwenye muziki wa Bong Fleva lakini aliyefanya kazi ya kuipeleka Bongo Fleva viwango vya Kimataifa Diamond hana mpinzani...Namuheshimu sana kwa hili. ()
Sent using Jamii Forums mobile app