Watanzania wenye asili ya bara la Asia tujuane hapa!

Watanzania wenye asili ya bara la Asia tujuane hapa!

Mama wewe ni muhehe hii mada haikuhusu...
 
Baba wa bibi yangu alitoka Ethiopia alislimi akiwa Korogwe na kuoa binti wa kisambaa
Kumbe ndio maana mbishi mbishi kama waabeshi.

Hawakubali kuunga juhudi kirahisi tahisi tu hata kama midege ya Ethiopian Airways inaleta faida.

Si unaona majuzi wamemuuwa Jenerali mmoja.
 
Nikianza na mimi... Nina asili ya Uarabuni ... Babu yangu mzaa Baba katoka Oman akaja Zanzibar then akazaliwa Baba yangu then Mimi... Sina nia mbaya ila tu nataka tujuane... Sorry no picture today!

Mkuu upande wa mama vipi!?

Kuna Mbantu anywhere?
 
Back
Top Bottom