Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Tusamehe MkuuWasomali ndio mnadai sio Waafrika?
You guys are so conflicted!
Arabs wanawakana,na nyie mnakana Uafrika!
Nilienda forum ya Somaliland nikacheka sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusamehe MkuuWasomali ndio mnadai sio Waafrika?
You guys are so conflicted!
Arabs wanawakana,na nyie mnakana Uafrika!
Nilienda forum ya Somaliland nikacheka sana!
🤣🤣🤣🤣 bado sijasikia wa kusema Bakhresa ni Baba Mkubwa kwakeHakuna mbatu woote waarab
Nikajua nawewe utajiita Muarabu, 🤣🤣🤣baba angu ni munaigeria na mama yangu ni mkongo kwa kifupi kwetu ni waganga
Hapo nimekuelewa mkuu.Wapo wengi mkuu!
Ila wao ni kama jamii nyengine kuna wenye changamoto na waliyo vyema.
Utakuwa mrembo sanaBabaa yangu anatoka Yemen mama mnyamwezi wa uyui.
Rostam si Muhindi?ni waajemi hao, kina rostam. toka Iran.
Kwani ni mwanamke huyo?Utakuwa mrembo sana
Hujakutana na Mixer ya Mwarabu na Mhabeshi weweUtakuwa mrembo sana
Mi mwenyewe mhabeshHujakutana na Mixer ya Mwarabu na Mhabeshi wewe
Wamakonde, Wayao, Wazaramu, Wasambaa, Wagido..nk nkWewe ukiwa sio raia wa TZ basi Shangazi Fatma Karume atakuwa raia wa Oman na Malawi.
Pua zile zinapatikana kabila gani ya Tanganyika au kwa wazanzibari gani wa asili walioshi kisiwani kabla ya sultan?
Mzaramo katokea nchi gani?Kwa kifupi wote tuliopo tanzania ni wageni toka mataifa mengine, rejea historia ya makabila
Nusu myahudi nusu msambaaNikianza na mimi... Nina asili ya Uarabuni ... Babu yangu mzaa Baba katoka Oman akaja Zanzibar then akazaliwa Baba yangu then Mimi... Sina nia mbaya ila tu nataka tujuane... Sorry no picture today!
Wengi wetu humu natambua tuna asili ya Uisraeli kutoka kabila la Manase, ambalo ni miongoni mwa yale makabila jumla ya 14 yatokanayo na uzao wa Yakobo, mawili yakitokana na Yusufu.Nikianza na mimi... Nina asili ya Uarabuni ... Babu yangu mzaa Baba katoka Oman akaja Zanzibar then akazaliwa Baba yangu then Mimi... Sina nia mbaya ila tu nataka tujuane... Sorry no picture today!
muajemi kabisa, wala si mhindi.Rostam si Muhindi?
Wabaguzi sana kuliko hata wazungu and other spices, kwakua nipata kuishi nao na kwa matendo walikua na wanayowafanyia wafanyakazi wao wa ndani ni ya kinyama zaidi kuwapa chakula tuu tena sio mile wanachokula wao waarabu.nk
Siwapendi