Watanzania wenye asili ya bara la Asia tujuane hapa!

Watanzania wenye asili ya bara la Asia tujuane hapa!

Waarabu nyie ni wachoyo,wabinafsi na roho zenu hizo.

Sorry i will post as it. Kuna mambo/haki na interest zangu mbali mbali nimenyimwa/kunyanganywa/kutapeliwa na watu wenye asili yenu.
 
Nikianza na mimi... Nina asili ya Uarabuni ... Babu yangu mzaa Baba katoka Oman akaja Zanzibar then akazaliwa Baba yangu then Mimi... Sina nia mbaya ila tu nataka tujuane... Sorry no picture today!
Hata Rwanda walianza hivi, mwishowe wakaunda umoja ulioleta kimbari.

Ova
 
Nikianza na mimi... Nina asili ya Uarabuni ... Babu yangu mzaa Baba katoka Oman akaja Zanzibar then akazaliwa Baba yangu then Mimi... Sina nia mbaya ila tu nataka tujuane... Sorry no picture today!
Mm ni matokeo ya msouth Africa baba na mluguru mama..
 
Wanaojitenga ni washamba tu hao na malimbukeni.

Kama wa-Yemen, wa-Oman wameshachanganya damu hivyo ukoo una mchanganyiko wa waarabu na wabantu.

Halafu ni ushamba kujitenga.

Nina babu zangu wawili wote wameoa wabantu na wametoka Yemen.
Ni wachache sana huwa naona wanajichanganya na wabantu.
 
Baba ni Msomali Mkristo....aliyeishi Jordan Arabuni kwa miongo kadhaa kisha akaoa Mchaga wa Mkuurombo + Kishimundu...angalia intermarriage hiyo 🤣🤣🤣
 
Wewe ukiwa sio raia wa TZ basi Shangazi Fatma Karume atakuwa raia wa Oman na Malawi.

Pua zile zinapatikana kabila gani ya Tanganyika au kwa wazanzibari gani wa asili walioshi kisiwani kabla ya sultan?
shangazi fatuma huwa anajiita yeye ni mwarabu, wakati babu yake marehemu karume alikuwa mnyasa wa Malawi, babake ni mnyasa aliyevaa sura ya mbaaali ya kiaraub, matokeo yake kwa asivyopenda uafrika huwa anajitambulisha kuwa yeye ni mwarabu. and very proud of it.
 
Back
Top Bottom