Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Mm n mwarabu wa DABAGA mama Mhehe baba msomaliii karibu
[emoji23][emoji23][emoji23] Hivi kuna waarabu wanyakyusa kweli (danh umenivunja mbavu)Baba yangu ni mnyakyusa wa Mwakaleri na mama yangu ni mnyakyusa wa tukuyu...
🤣🤣🤣🤣Baba yangu ni mnyakyusa wa Mwakaleri na mama yangu ni mnyakyusa wa tukuyu...
Na wewe ukabatizwa na kupata kipaimara then ukaolewa na mwanaume wa kichagga.Baba wa bibi yangu alitoka Ethiopia alislimi akiwa Korogwe na kuoa binti wa kisambaa
Youtube.Sisi wenye asili ya Somaliland tunakoment wapi?
Mkuu..weye si mwarabu wa Kwihala kweli?Anyway,it's a mere joke.We used to have funny times with our fellow "mulatos" in those old days!Babaa yangu anatoka Yemen mama mnyamwezi wa uyui.