Kabla ya hapo mlimshauri hivyo alienunua?!!Tunapoambiwa ATCL imepata hasara tusibeze sana. Kuna American Express na Delta Lines wanachungulia kaburi! Na Amar hapo UK British Airways imegubikwa madeni nusura izame! Tatizo lenu ni uzungu pori? Ni mashirika ya wenye mafuta kina EMIRATES, QATAR na wenzao Serikali zao zimenunua madeni. Baadhi ya matukio yaliyotikisa biashara ya usafiri wa anga duniani kwa kipindi Cha miaka 15 iliyopita:
1. Global Economic and financial crisis (mtikisiko wa kiuchumi na kifedha ulioikumba dunia).
2. Marubani, wahudumu na watumishi viwanjani kugoma Mara kwa mara nchini Marekani, UK, France na Italy.
3. Kodi mpya (carbon tax) kugharamia uchafuzi wa anga.
4. Covid 19 restrictions on travel (masharti ya covid 19)
5. Gharama za utengenezaji ndege kuongezeka mno kutokana na ushindani Kati ya Airbus na Boeing kufuatia mahitaji ya usalama wa abiria.
6. Nchi kunyimana route (protectionism policies).
7. Uendeshwaji mbaya wa airline
8. Kubadilika kwa sura ya utalii. Mfano watalii wengi kuanza kujikita kutembelea nchi au eneo lao, kushuka ari ya kuona wanyama au milima n.k.
Hizi ndio sababu ya mashirika mengi duniani kuendeshwa kwa hasara. Sio lazima éti hasara pawepo na wizi
Licha ya mashirika kufanya vibaya hakuna nchi imefunga shirika lake. KLM ilitaka ijiuze kwa AIR FRANCE wananchi wakaandamana! Serikali ikalazimika kubeba madeni.
Alitalia ya Italy ilitangazwa imefilisika Papa akamwandikia barua Prime Minister kwamba Vatican hairidhii uamuzi! Serikali ikabeba Madeni. Mpaka leo Alitalia ipoipo tu. Ukipatiwa ticket ya Alitalia jiandae for cancellation wakati wowote. Mara nyingi watakuhalishia Easy Jet au Ryan Air.
Sasa kuna mijitu inadhani biashara ya ndege sawa na biashara ya kuuza mashokishoki Darajani!
Corona imeharibu sana biashara... Na kulingana na kipindi ambacho ripoti ya mkaguzi inahusika.. ndo kipindi ambacho hali imekuwa tete.Marehemu hajamaliza hata siku 2 kaburini umeshaanza kusema shirika lake lililotengeneza faida ya bil 28 mwaka jana mwaka huu limetengeneza hasara?
Kabla ya corona hizo ndege zilikuwa zinaenda wapi? Na baada ya corona zilishindwa kwenda zilikokuwa zinaenda?Corona imeharibu sana biashara... Na kulingana na kipindi ambacho ripoti ya mkaguzi inahusika.. ndo kipindi ambacho hali imekuwa tete.
ATCL ukilinganisha na mashirika mengine nahisi ina unafuu mkubwa sana.
Tuendelee kulisapoti shirika letu
(..) Umesahau gharama yakurekebisha ndege iliyopaki ni kubwa kuliko ndege yenye route za kila wakatiTunapoambiwa ATCL imepata hasara tusibeze sana. Kuna American Express na Delta Lines wanachungulia kaburi! Na Amar hapo UK British Airways imegubikwa madeni nusura izame! Tatizo lenu ni uzungu pori? Ni mashirika ya wenye mafuta kina EMIRATES, QATAR na wenzao Serikali zao zimenunua madeni. Baadhi ya matukio yaliyotikisa biashara ya usafiri wa anga duniani kwa kipindi Cha miaka 15 iliyopita:
1. Global Economic and financial crisis (mtikisiko wa kiuchumi na kifedha ulioikumba dunia).
2. Marubani, wahudumu na watumishi viwanjani kugoma Mara kwa mara nchini Marekani, UK, France na Italy.
3. Kodi mpya (carbon tax) kugharamia uchafuzi wa anga.
4. Covid 19 restrictions on travel (masharti ya covid 19)
5. Gharama za utengenezaji ndege kuongezeka mno kutokana na ushindani Kati ya Airbus na Boeing kufuatia mahitaji ya usalama wa abiria.
6. Nchi kunyimana route (protectionism policies).
7. Uendeshwaji mbaya wa airline
8. Kubadilika kwa sura ya utalii. Mfano watalii wengi kuanza kujikita kutembelea nchi au eneo lao, kushuka ari ya kuona wanyama au milima n.k.
Hizi ndio sababu ya mashirika mengi duniani kuendeshwa kwa hasara. Sio lazima éti hasara pawepo na wizi
Licha ya mashirika kufanya vibaya hakuna nchi imefunga shirika lake. KLM ilitaka ijiuze kwa AIR FRANCE wananchi wakaandamana! Serikali ikalazimika kubeba madeni.
Alitalia ya Italy ilitangazwa imefilisika Papa akamwandikia barua Prime Minister kwamba Vatican hairidhii uamuzi! Serikali ikabeba Madeni. Mpaka leo Alitalia ipoipo tu. Ukipatiwa ticket ya Alitalia jiandae for cancellation wakati wowote. Mara nyingi watakuhalishia Easy Jet au Ryan Air.
Sasa kuna mijitu inadhani biashara ya ndege sawa na biashara ya kuuza mashokishoki Darajani!
Faida ya bil 28 ,haiingii akilini ni mazingaumbwe kwa routes gani sasa?Kabla ya corona hizo ndege zilikuwa zinaenda wapi? Na baada ya corona zilishindwa kwenda zilikokuwa zinaenda?
2017/2018 na 2018/2019 kipindi ambacho CAG alifanya ukaguzi wa hesabu za ATCL kulikuwa na covid? Au hujasoma hata ripoti yenyewe?
Mwaka jana Magyfuli kwa kinywa chake alisema ATCL imefanya faida ya bil 28. Alikuwa anatudanganya?
Mwaka jana ATCL wametoa gawio serikalini. Walikuwa wanatudanganya?
Tushangae wote. Mheshimiwa alitamka hivyo hadharani na wapiga makofi wakapiga kama kawaida yaoFaida ya bil 28 ,haiingii akilini ni mazingaumbwe kwa routes gani sasa?
Waliua fast jest kwa mizengwe na walivyokuwa hawana aibu hata Precision walitaka ife kabisa. Mwenyezi Mungu fundi sanaKama vipi ziuzwe ibaki kubwa moja zingine tununue vile vidogo kama Fast Jet.
Aisee ukimtegemea binadamu ndo kulaaniwa hukuTushangae wote. Mheshimiwa alitamka hivyo hadharani na wapiga makofi wakapiga kama kawaida yao
Ohh ndio maana nilisikia nchi nyingi hazijihusishi directly zaidi ya kuachia mashirika binafsi kama precision air na fastjet wafanye hiyo biashara ili fedha za serikali zifanye mambo mengine yanayoleta impact kubwa kiuchumi.
By the way, Ningeomba unipe uelewa, je kama nchi tunapata faida gani kubwa mbali na "national pride" , inayotufanya tuservice hilo deni kuliko kuwekeza katika sekta nyingine.
Tunagawana hasaraSasa kwanini kabla hajafa mlikua mnasema Tunatengeneza faida kubwa na hizo ndege?
Yale magawio mliyokua mnayazungumzia yalikua yanatoka wapi?
Serikali ilitangaza kujitoa kwenye biashara ikauza mashirika.Tunapoambiwa ATCL imepata hasara tusibeze sana. Kuna American Express na Delta Lines wanachungulia kaburi! Na Amar hapo UK British Airways imegubikwa madeni nusura izame! Tatizo lenu ni uzungu pori? Ni mashirika ya wenye mafuta kina EMIRATES, QATAR na wenzao Serikali zao zimenunua madeni. Baadhi ya matukio yaliyotikisa biashara ya usafiri wa anga duniani kwa kipindi Cha miaka 15 iliyopita:
1. Global Economic and financial crisis (mtikisiko wa kiuchumi na kifedha ulioikumba dunia).
2. Marubani, wahudumu na watumishi viwanjani kugoma Mara kwa mara nchini Marekani, UK, France na Italy.
3. Kodi mpya (carbon tax) kugharamia uchafuzi wa anga.
4. Covid 19 restrictions on travel (masharti ya covid 19)
5. Gharama za utengenezaji ndege kuongezeka mno kutokana na ushindani Kati ya Airbus na Boeing kufuatia mahitaji ya usalama wa abiria.
6. Nchi kunyimana route (protectionism policies).
7. Uendeshwaji mbaya wa airline
8. Kubadilika kwa sura ya utalii. Mfano watalii wengi kuanza kujikita kutembelea nchi au eneo lao, kushuka ari ya kuona wanyama au milima n.k.
Hizi ndio sababu ya mashirika mengi duniani kuendeshwa kwa hasara. Sio lazima éti hasara pawepo na wizi
Licha ya mashirika kufanya vibaya hakuna nchi imefunga shirika lake. KLM ilitaka ijiuze kwa AIR FRANCE wananchi wakaandamana! Serikali ikalazimika kubeba madeni.
Alitalia ya Italy ilitangazwa imefilisika Papa akamwandikia barua Prime Minister kwamba Vatican hairidhii uamuzi! Serikali ikabeba Madeni. Mpaka leo Alitalia ipoipo tu. Ukipatiwa ticket ya Alitalia jiandae for cancellation wakati wowote. Mara nyingi watakuhalishia Easy Jet au Ryan Air.
Sasa kuna mijitu inadhani biashara ya ndege sawa na biashara ya kuuza mashokishoki Darajani!
Wamarekani wenyewe walioanzisha usafiri wa ndege na wenye mashirika makubwa ya kutengeneza ndege kama Boeing mpaka leo hawana shirika la ndege la taifa.Ohh ndio maana nilisikia nchi nyingi hazijihusishi directly zaidi ya kuachia mashirika binafsi kama precision air na fastjet wafanye hiyo biashara ili fedha za serikali zifanye mambo mengine yanayoleta impact kubwa kiuchumi.
By the way, Ningeomba unipe uelewa, je kama nchi tunapata faida gani kubwa mbali na "national pride" , inayotufanya tuservice hilo deni kuliko kuwekeza katika sekta nyingine.
Nilikuwa nimepanga kutokujihusisha na mijadala ya kisiasa, imebidi nijitokeze katika huu mjadala.
Mjadala huu umechukua sura ya kisiasa hasa baada ya ripoti ya CAG kuwa ATCL imekuwa ikijiendesha kwa hasara.
Mleta mada kaliweka suala la ATCL kiuchumi zaidi ila wewe Eyce unatafuta majibu ya hoja zako kisiasa.
Tanzania katika awamu mbalimbali za Serikali zimekuwa na mikakati ya msingi ya kiuchumi. Sera ya Kilimo kwanza ilikuwa na inakusudia kujitosheleza kwa kilimo. Sera ya viwanda inakusudia kujitosheleza kwa bidhaa muhimu kwa mahitaji ya kila siku na kuongeza thamani ya mazao ya kilimo. Ili kufanikisha hayo imelazimika kuimarisha miundo mbinu dhabiti ya usafirishaji (ardhini, majini na angani) kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
Wengi wetu humu JF hatujui vichocheo vya kiuchumi na hata kama tunajua, kwa sababu tunazozijua, tunajitokeza kubeza ununuzi wa ndege. Nina uhakika miaka ijayo faida ya kununua ndege zetu wenyewe leo itakuwa dhahiri.
Kwa mfano, baada ya kujitosheleza chakula na bidhaa, Sera ijayo ni ya uuzaji bidhaa nje ya nchi. Hili haliwezi kufanikiwa kwa faida bila kuwa na usafiri wa anga ulio imara. Kama utakumbuka hadi leo mazao yetu na madini husafirishwa kupitia Kenya, je, tuendelee hivyo hivyo kwa bidhaa za viwanda vyetu vinavyojengwa?
exactly na ndicho nilichotaka kuelewa zaidi kutoka kwa mtoa mada au yoyote mwenye uelewa zaidi katika hili,Wamarekani wenyewe walioanzisha usafiri wa ndege na wenye mashirika makubwa ya kutengeneza ndege kama Boeing mpaka leo hawana shirika la ndege la taifa.
Unafikiri wao ni wajinga walivyoachia biashara hii iwe ya sekta binafsi?
Ni vigumu kupata maelezo ya kiuchumi ku justify.exactly na ndicho nilichotaka kuelewa zaidi kutoka kwa mtoa mada au yoyote mwenye uelewa zaidi katika hili,
ikibidi aseme labda kumekuwa na impact gani kiuchumi toka 2015 hadi leo ili ionekane walau justification ya hasara inayopatikana kwa taifa
only that mkuu