Uchaguzi 2020 Watanzania wenzangu, Membe amekuja na leso ya kupangusa machozi yetu, tusifanye tena makosa tukajilaumu

K

Kwaiyo lissu hafai , tena kama mnataka kuimaliza chadema basi Mimi naomba msajili akifute hiki chama Act
 
Mtazamo wangu ni ule ule ; Membe ni mwanasiasa kama Wanasiasa wengine , ni miongoni mwa watu waliojinufaisha na Taifa letu ktk uongozi wao kama wengine , Membe ni product ya CCM kama ilivyokuwa kwa wengine .
NOTHING NEW AND GREATER TO MR. MEMBE. MEMBE NA GENGE LAKE NDIYE MDHAMINI KUASISIWA KWA CHAMA CHA ACT .

NI MAOMBI YANGU MAGUFULI AENDELEE TU , CHANGAMOTO ULIZOZIORODHESHA HAPO HATA KWA MEMBE ZITAKUWAPO TU .

HAKUNA TAIFA WALA HALITAKUWEPO LILILOKOSA CHANGAMOTO ZA KIUTAWALA . KWENYE FAMILIA YAKO TU AMBAYO NDIYO MSINGI WA UONGOZI HAZIKOSEKANI CHANGAMOTO NDIYO LIKAWE TAIFA !
 
Mkuu kumbuka Missile ni mwana ACT ndiyo maana anahamasisha "Twende na Membe'. Kwenye video Member kaongea kwa hisia kuwa yuko flexible na kakiri kuna miamba mwingine kama yeye. Sawa kabisa. Twende na mwamba mmoja aliemkuta upinzani (TAL) na miamba mingine isaidie kufika hapo upinzani wanapotamania. Yeye ni mgeni, na mgeni mzuri hutoa mawazo mapya chanya kufikia malengo ya kikundi fulani. Siyo kutamani nafasi ya juu ya uongozi wa kikundi mara tu baada ya kukaribishwa. Asiingizwe chumbani kwanza,aishie sebuleni huku wenyeji na majirani wakimsoma taratibu.
 
Bahati mbaya ni kwamba kaja na Leso aliyoipaka pilipili kichaa.
 
Hana jipya huyo, upinzani wakkmpitisha Membe wamefaulu kufeli bora hata Lisu
 
Lissu for president. Hawa wengine warudi walikotoka.
 
Hatutaki mamluki ni Bora nimpigie kura yangu just kuliko mpuuzi yoyote kutoka ccm, aliyotufanyia lowasa yanatosha.
 
Kazi ni kwetu sisi watanzania, kusuka au kunyoa
 
Nonsense
 
Usiwaamini hawa political half cast.
Kumwamini Membe nje ya system (CCM) ni kujitoa akili mchana kweupe.
 
Yoote uliosema Ni sahihi lakini tupe na sababu za kumchagua huyi B Member, je,sio wale wale maana kaitumikia ccm kwa miaka 30+ je baada ya kufukuzwa ccm ndio kayaona yote hayo?
 
Kura zetu kwa Magufuri mbeba maono
 
Mkuu 'Nisamehe', nimekuelewa vizuri sana.

Uliyoyaandika hapa ndiyo niliyoyatarajia wayafanye ACT-Wazalendo na CHADEMA.

Nafasi ya Membe wakati huu ni kuchangia kwa uwezo wote alionao kuwachimba CCM na matokeo ya kazi yake ndiyo itakayompa heshima kubwa na nafasi ya uongozi itakayomfaa baada ya mapambano.
 
Yoote uliosema Ni sahihi lakini tupe na sababu za kumchagua huyi B Member, je,sio wale wale maana kaitumikia ccm kwa miaka 30+ je baada ya kufukuzwa ccm ndio kayaona yote hayo?
Mkuu 'anthony-art', mimi sijapendekeza kumchagua Membe, naomba unisome vizuri.

Ninachomsifia hadi sasa ni kukataa na kuwa na msimamo juu ya yale yanayofanyika ndani ya chama chake hadi ikalazimu afukuzwe. Umemwona mwingine yeyote ndani ya chama hicho aliyekataa hadi ikalazimu afukuzwe? Hili pekee linamtambulisha kuwa tofauti na wengine.

Hili la kuitumikia CCM kwa miaka yote sioni ugumu wake. Kwani CCM imekuwa ikifanya mambo yote yanayofanyika hasa wakati huu? Hakuna yaliyobadilika?
 
Huu mwamko mkubwa kisiasa n nan kauleta

Kelele kila kona

Daahh Tz nchi yangu sijui unaenda wapi
 
Wewe ni mpumbavu sana. Unataka nchi iende kwa membe? Umesahau walivyoitafuna nchi kama mchwa? alikuwa waziri wa mambo ya nchi za nje alifanya nini? Acha upubavu wewe.
Wewe bora mzee wako angepiga nyeto unaijua kazi ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa?
 
Bora mwizi huyu kuliko aliyeiba Trilion 1.5 kwa mabavu na mpwa wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…