Watanzania wenzangu mliopo nchini Uganda

Watanzania wenzangu mliopo nchini Uganda

nasssen

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
489
Reaction score
535
Habari za mihangaiko ya kazi wana JF,

Bila kupoteza muda ngoja niende direct kwenye mada iliyonileta humu. Nina miezi michache sasa nipo nchini Uganda kikazi, lakini imekuwa vigumu sana kukutana na watanzania wenzangu pengine ni kutokana na kazi na kuwa busy kidogo. Lakini natamani sana kufahamiana na wenzangu mliopo huku kwasababu leo na kesho tunaweza kusaidiana kama ndugu na pengine kuendeleza ushirikiano huu hata tutakaporejea nyumbani Tanzania.

kama upo huku please nicheki pm. Nashukuru! 🙂🙂🙂

Nimemiss sana kuongea kiswahili aisee! 😀
 
Jaribu kuwauliza wenyeji wako huko wapi waweza kutana na watz
 
kwahiyo sasa hivi unaongea kiganda mkuu, umejifunza lini!?
Hahaha....hapana mkuu nafahamu maneno machache sana ya kiganda. Lakini basi tu, kiswahili cha bongo ni kitamu mkuu. Nakimiss vibaya sana
 
Back
Top Bottom