Watanzania wenzangu nawaomba tutumie vyema mfungo wa Ramadhan na Kwaresma, tuombe Mungu atuepushe na ukame na njaa

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Kila mmoja anashuhudia jua lilivyo kali, mvua zimechelewa kwa mikoa ya pwani, maeneo mengine ya nchi mvua ni chache, jua kali mazao yanakauka.

Kuna kila dalili ya upungufu wa chakula/njaa.

Tunawaomba viongozi wetu wa Makanisa na Misikiti kuonga sala za toba.
 
Ndo mana nchi za Africa Haziendelei kwa akili kama hizi Akili tulizopewa hatuzitumii tuna tegemea miujiza tu.

Dunia ishahama huko kwenye kulima kwa kutegemsa Mvua , ni wakati wa kutumia umwagiliaji.

Badala kusema Watanzania ni wakati sasa wa ku iadhibu serikali kushindwa kutengeneza kuweka mifumo dhabiti ya kumwagilia mazao sisi tunapeleka tu maombi ambayo hata wenye kutuletea hiyo dini wenyewe wanatumia Science katika ulimaji (Nchi kama Israel au Saudi Arabia hawategemei kuomba ili walime, wanahangaika na Utaalamu katika kuzalisha mazao eneo dogo ila mavuno makubwa).

Haya ndo mambo yatafanya tuone kuwa serikali yetu haina kosa ila kosa ni sisi eti hatuombi Mungu atupe kitu flani angalia ni wajibu wa serikali au viongozi wako
 
Ukame na njaa unasababishwa na serikali ya CCM inayopora madaraka na kushindwa kabisa kusimamia na kutengeneza mifumo bora ya kilimo cha umwagiliaji licha ya rasilimali zilizokuwepo nchi nzima.
 
Kila mmoja anashuhudia jua lilivyo kali, mvua zimechelewa kwa mikoa ya pwani, maeneo mengine ya nchi mvua ni chache, jua kali mazao yanakauka......Kuna kila dalili ya upungufu wa chakula/njaaa.
Tunawaomba viongozi wetu wa Makanisa na Misikiti kuonga sala za toba.
Kila sehemu watu wamekata miti wapate mkaa ili waivishe vizuri wali na ugali afu tunataka Mungu afanye muujiza wa hali ya hewa?
 
Kila mmoja anashuhudia jua lilivyo kali, mvua zimechelewa kwa mikoa ya pwani, maeneo mengine ya nchi mvua ni chache, jua kali mazao yanakauka......Kuna kila dalili ya upungufu wa chakula/njaaa.
Tunawaomba viongozi wetu wa Makanisa na Misikiti kuonga sala za toba.
Amina
 
Zile programu za upandaji na utunzaji miti.... Huwa wanapewa mishahara kila mwezi kwa kazi zipi hasa??
 
Ndo mana nchi za Africa Haziendelei kwa akili kama hizi Akili tulizopewa hatuzitumii tuna tegemea miujiza tu.

Dunia ishahama huko kwenye kulima kwa kutegemsa Mvua , ni wakati wa kutumia umwagiliaji.

Badala kusema Watanzania ni wakati sasa wa ku iadhibu serikali kushindwa kutengeneza kuweka mifumo dhabiti ya kumwagilia mazao sisi tunapeleka tu maombi ambayo hata wenye kutuletea hiyo dini wenyewe wanatumia Science katika ulimaji (Nchi kama Israel au Saudi Arabia hawategemei kuomba ili walime, wanahangaika na Utaalamu katika kuzalisha mazao eneo dogo ila mavuno makubwa).

Haya ndo mambo yatafanya tuone kuwa serikali yetu haina kosa ila kosa ni sisi eti hatuombi Mungu atupe kitu flani angalia ni wajibu wa serikali au viongozi wako
Hivyo vyanzo vya maji, utare-charge kwa kutumia mkoj0 wako?
 
Kuiita mvua tunajuantunasema NI uchawi...maombi sionuchawi basi sawa...
 
Hivyo vyanzo vya maji, utare-charge kwa kutumia mkoj0 wako?U

Kwa vile umekuja kidharau acha nami niende humo humo.

Kwanza yaonekana huna Elimu tosha kuhusu Geographia. hivyo huelewi chochote una ropoka tu.

Tanzania ni moja ya nchi ambayo inaongoza kuwa na fresh Water( Mito na maziwa) ambayo ni mito na maziwa ambayo sio ya misimu. hakuna haja ya kusema inasubiria mvua au nini.

Bado sehemu nyingi kuna Undeground water zilizoko karibu ambazo hakuna haja ya kusubiria mito au mvua.

Saudi Arabia nchi pekee duniani haina mto wowote Ila hawana akili za kijinga za kuseme wanaomba mvua au wanategemea kwa maombi.

Acheni kukwepesha majukumu ya Serikali kwa kutaka yawe kwenye maombi..
 
Back
Top Bottom