Kila sehemu watu wamekata miti wapate mkaa ili waivishe vizuri wali na ugali afu tunataka Mungu afanye muujiza wa hali ya hewa?Kila mmoja anashuhudia jua lilivyo kali, mvua zimechelewa kwa mikoa ya pwani, maeneo mengine ya nchi mvua ni chache, jua kali mazao yanakauka......Kuna kila dalili ya upungufu wa chakula/njaaa.
Tunawaomba viongozi wetu wa Makanisa na Misikiti kuonga sala za toba.
AminaKila mmoja anashuhudia jua lilivyo kali, mvua zimechelewa kwa mikoa ya pwani, maeneo mengine ya nchi mvua ni chache, jua kali mazao yanakauka......Kuna kila dalili ya upungufu wa chakula/njaaa.
Tunawaomba viongozi wetu wa Makanisa na Misikiti kuonga sala za toba.
Hivyo vyanzo vya maji, utare-charge kwa kutumia mkoj0 wako?Ndo mana nchi za Africa Haziendelei kwa akili kama hizi Akili tulizopewa hatuzitumii tuna tegemea miujiza tu.
Dunia ishahama huko kwenye kulima kwa kutegemsa Mvua , ni wakati wa kutumia umwagiliaji.
Badala kusema Watanzania ni wakati sasa wa ku iadhibu serikali kushindwa kutengeneza kuweka mifumo dhabiti ya kumwagilia mazao sisi tunapeleka tu maombi ambayo hata wenye kutuletea hiyo dini wenyewe wanatumia Science katika ulimaji (Nchi kama Israel au Saudi Arabia hawategemei kuomba ili walime, wanahangaika na Utaalamu katika kuzalisha mazao eneo dogo ila mavuno makubwa).
Haya ndo mambo yatafanya tuone kuwa serikali yetu haina kosa ila kosa ni sisi eti hatuombi Mungu atupe kitu flani angalia ni wajibu wa serikali au viongozi wako
Hapo SasaHivyo vyanzo vya maji, utare-charge kwa kutumia mkoj0 wako?
Ulivyo aminishwa etyKuiita mvua tunajuantunasema NI uchawi...maombi sionuchawi basi sawa...
Kuna kuaminisha na kufahamu....kuwa na hakika...Ulivyo aminishwa ety
Hapo ulipo upo sahihi??Kuna kuaminisha na kufahamu....kuwa na hakika...
Hivyo vyanzo vya maji, utare-charge kwa kutumia mkoj0 wako?U
Nje ya mada. We mdada ni mzuri.Sawa sawa
Nje ya mada. We mdada ni mzuri.
Nakupendaga sema najua utakataa tu. Ila poa tu.Hee Asante
Imani bila matendo ni ZERO.Imani ituponye