kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
Watanzania wenzangu nawapenda sana,mnapojifukiza msisahau kufumba macho ili mkopona muendelee kupost na kukoment humu JF.
Madhara ambayo yanaweza yakapatikana kwenye kujifukiza ni pamoja na ukungu kwenye macho kama sio upofu kabisa.
Binafsi nimeitumia Sana tiba hii lakini kabla hata covid-19 hatarajiwi kuwepo duniani. Na katika vitu ambavyo nilikuwa nasisiyizwa ni kufumba macho. Nadhani haya madhara wazee wetu wanewahi kuyashuhudia.
Staysafe