Watanzania wenzangu nawapenda sana,mnapojifukiza msisahau kufumba macho

kaligopelelo

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
2,832
Reaction score
4,070
Watanzania wenzangu nawapenda sana,mnapojifukiza msisahau kufumba macho ili mkopona muendelee kupost na kukoment humu JF.
Madhara ambayo yanaweza yakapatikana kwenye kujifukiza ni pamoja na ukungu kwenye macho kama sio upofu kabisa.
Binafsi nimeitumia Sana tiba hii lakini kabla hata covid-19 hatarajiwi kuwepo duniani. Na katika vitu ambavyo nilikuwa nasisiyizwa ni kufumba macho. Nadhani haya madhara wazee wetu wanewahi kuyashuhudia.

Staysafe
 

Attachments

  • IMG-20200314-WA0008.jpg
    82.5 KB · Views: 1
Yule dingi anayejifukiza nadhani alikuwa hajavaa hata boksa ili kuuawa hata wale wadudu wengine wanaopatikana kwa kunjunji
Hahaha lakini wazee ndo wazoefu kwenye hii tiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…