NDOTO KAVU
JF-Expert Member
- Feb 15, 2011
- 1,513
- 1,121
Ndugu zangu taifa la Mungu!!!
Nimemsikiliza huyu ndugu jana sikumwelewa. Kwanza ujasiri wakutengeneza kundi ndani ya serikali ambalo dola halina nguvu ya kuomba msaada kwa wananchi wakati dola imekula kiapo cha kuwatumikia raia.
Wenzangu tuu mashahidi hata Muliro huyo anaechukua mack na kutishia raia hawezi kupambana nalo kweli?
Serikali imeshindwa kulinda raia wake na kujificha kwenye pori la amani wakati wenzetu wakitekwa kufanyiwa unyama kama Dada wa Uganda.
Gwajima tunakuheshimu usiwavurige watanzania wakati dola ilisha watenga. Mungu ameshusha mikono yake mwenyewe kukomboa taifa lake.
Dunia hii haina siri. Wanasema miluzi ikiwa mingi kuna siku mdomo utaongea.
Asante