NDOTO KAVU
JF-Expert Member
- Feb 15, 2011
- 1,513
- 1,121
hajatumwa amesema fact, hard facts...... Factum probandum and factum probans.......hata kama ametumwa, amesema yeyote mwenye akili alikuwa anakifikiria kuwa hawa watu wana baraka za Samia. Mamlaka ya uteuzi wa IGP, DGSI, CDF wanaogopa kutenda maana mamlaka yaoo ya uteuzi ndiyo inatowatuma wanaoua na kuteka watu!Ndugu zangu taifa la Mungu!!!
Nimemsikiliza huyu ndugu jana sikumwelewa. Kwanza ujasiri wakuteneneza kundi ndani ya serikali ambalo dola halina nguvu ya kuomba msaada kwa wananchi wakati dola imekula kiapo cha kuwatumikia raia.
Wenzangu tuu mashahidi hata Muliro huyo anaechukua mack na kutishia raia hawezi kupambana nalo kweli?
Serikali imeshindwa kulinda raia wake na kujificha kwenye pori la amani wakati wenzetu wakitekwa kufanyiwa unyama kama Dada wa Uganda.
Gwajima tunakuheshimu usiwavurige watanzania wakati dola ilisha watenga. Mungu ameshusha mikono yake mwenyewe kukomboa taifa lake.
Dunia hii haina siri. Wanasema miluzi ikiwa mingi kuna siku mdomo utaongea.
Asante
Mungu ambariki sana Gwajima kwa kuuzema ukweli huu hadharani.hawa watu wana baraka za Samia. Mamlaka ya uteuzi wa IGP, DGSI, CDF wanaogopa kutenda maana mamlaka yaoo ya uteuzi ndiyo inatowatuma wanaoua na kuteka watu!
Gwajima ni walewale maccm. Huyu jamaa katupa mfupa ili mpotezee yanayolalamikiwa na wananchi.Mimi hata sijakuelewa mkuu unasimamia kwenye lipi.