Watanzania wenzangu tushirikiane kwa pamoja, hawa watu wamevuka mipaka

Watanzania wenzangu tushirikiane kwa pamoja, hawa watu wamevuka mipaka

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
9,185
Reaction score
8,715
Bei za vifurushi vimepanda mno, ukijiunga zinaliwa fasta, najitahidi kujibana lakini wapii, hata kama kuwemo kwa tozo/kodi za serikali lakini sio sababu ya wao kutupandishia kiasi hicho, ni too much kwakweli, wamevuka mpaka. Mimi ni mpenzi na mfuatiliaji wa football, and many times naangalizia kwenye simu, but now nimepunguza, na huko mbeleni huenda nikaacha nayo na kuhamia kwenye king'amuzi.

Nawaomba watanzania wenzangu, tupunguze kununua internet bundles kupitia mitandao ya simu, kama itawezekana for every body afungue WIFI kupitia TTCL, kuna mdau humu alinidokeza wanaUNLIMITED kwa gharama ya 50k per month. Huu ni ushauri tu wadau wenzangu na wala silazimishi mtu.

Ahsante
BlackP
 
Oya genta kafanyaje tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220811-111940_1.jpg
 
Back
Top Bottom