Sozo_
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 3,248
- 6,146
Naelewa na ninafahamu ni ukweli wa wazi kwamba CHAGUZI zilizopita zilijaa dhuluma, ukiukwaji wa haki na hata vifo vya Watanzania wenzetu,
LAKINI
Wakati mnasukuma agenda ya NO REFORM NO ELECTION, hakikisha wanachama WANAJIANDIKISHA KWA WINGI KWENYE MIKOA YAO ZOEZI LA UANDIKISHAJI LIKIANZA MIKOA HUSIKA, KAMA AMBAVYO SASA DAR ES SALAAM LINAENDELEA WIKI HII YOTE
KWANINI?
Walau zoezi la kujiandikisha halina ubaguzi, ni la watu wote, na ni silaha muhimu kwenu kuandikisha wapiga kura wengi muwezavyo ili ZILE REFORMS MNAZOTAKA zikifanyiwa kazi basi MUWE NA WATU WENGI PIA WA KUFANYA MAAMUZI KWENYE SANDUKU LA KURA,
Nje ya hapo,
Mkiwaachia vyama vingine hasa mahasimu wenu wajiandikishe kwa wingi huku ninyi mmekaa tu na hamfanyi hamasa kwenye UANDIKISHAJI, hata REFORMS zikifanywa, watu wenu wengi hawatakuwa na vigezo na sifa za kupiga kura,
USHAURI WA BURE
Hamasisheni sana watu wenu wajiandikishe kwa wingi mwaka huu kuliko hata miaka iliyopita, huku mkiendelea na mapambano yenu ya NO REFORM NO ELECTION, ili mkiyapata msikwame kwa kukosa wapiga kura wa kuamua kwenye box la kura! Mkikaa tu kimya na kusingizia uonevu na uharibifu wa chaguzi zilizopita, WENZENU WA CCM wanaandikisha watu kwa kasi, huko mbele wakiwapa mnachotaka huku hamna WAPIGA KURA, sielewi mtashindaje kwa kutumia wapiga kura wa wenzenu!
Ni muhimu CDM mkiwahimiza sana watu wenu wajiandikishe na kukazania hilo mno, ni sehemu ya hatua ya kwanza iliyo ndani ya uwezo wenu kuelekea mnakotaka kwenda,
NB: Ifahamike mimi sina kadi ya chama chochote hadi sasa (si mwanachama wa chama chochote, japo mbeleni naweza kuwa mwanachama kule ambapo moyo na utashi wangu mwema utanisukuma), na ushauri huu ni wa wazi usio na hila.
Wasalaam
Bishop Dickson Cornel Kabigumila
ABC GLOBAL
19.03.2025FORM NO ELECTION

Nimeitoa kwa
Bishop Dickson Cornel Kabigumila
Facebook.