Kisemwacho kipoTujiulize machache kabla ya kufika huko;
1. Ni kweli kuna wizi wa kura?
2. Hutumia watu gani kuiba hizi kura?
3. viongozi wa Tume ya uchaguzi wana maadili ya ukweli?
4. Je watu wa Tume hawana upendeleo kwa chama chochote?
5. Ushawiwshi wa CCM upoje ndani ya vymba vya kupiga kura na nje vya vyuma?
Mabadiliko ya kweli yakifanyika hata daftari la wapiga kura itabidi liboreshwe. Kisheria daftari hilo hupaswa kuandikwa mara 2 baada ya uchaguzi mmoja na mwingine. So far daftari limeboreshwa mara moja.Naelewa na ninafahamu ni ukweli wa wazi kwamba CHAGUZI zilizopita zilijaa dhuluma, ukiukwaji wa haki na hata vifo vya Watanzania wenzetu,
LAKINI
Wakati mnasukuma agenda ya NO REFORM NO ELECTION, hakikisha wanachama WANAJIANDIKISHA KWA WINGI KWENYE MIKOA YAO ZOEZI LA UANDIKISHAJI LIKIANZA MIKOA HUSIKA, KAMA AMBAVYO SASA DAR ES SALAAM LINAENDELEA WIKI HII YOTE
KWANINI?
Walau zoezi la kujiandikisha halina ubaguzi, ni la watu wote, na ni silaha muhimu kwenu kuandikisha wapiga kura wengi muwezavyo ili ZILE REFORMS MNAZOTAKA zikifanyiwa kazi basi MUWE NA WATU WENGI PIA WA KUFANYA MAAMUZI KWENYE SANDUKU LA KURA,
Nje ya hapo,
Mkiwaachia vyama vingine hasa mahasimu wenu wajiandikishe kwa wingi huku ninyi mmekaa tu na hamfanyi hamasa kwenye UANDIKISHAJI, hata REFORMS zikifanywa, watu wenu wengi hawatakuwa na vigezo na sifa za kupiga kura,
USHAURI WA BURE
Hamasisheni sana watu wenu wajiandikishe kwa wingi mwaka huu kuliko hata miaka iliyopita, huku mkiendelea na mapambano yenu ya NO REFORM NO ELECTION, ili mkiyapata msikwame kwa kukosa wapiga kura wa kuamua kwenye box la kura! Mkikaa tu kimya na kusingizia uonevu na uharibifu wa chaguzi zilizopita, WENZENU WA CCM wanaandikisha watu kwa kasi, huko mbele wakiwapa mnachotaka huku hamna WAPIGA KURA, sielewi mtashindaje kwa kutumia wapiga kura wa wenzenu!
Ni muhimu CDM mkiwahimiza sana watu wenu wajiandikishe na kukazania hilo mno, ni sehemu ya hatua ya kwanza iliyo ndani ya uwezo wenu kuelekea mnakotaka kwenda,
NB: Ifahamike mimi sina kadi ya chama chochote hadi sasa (si mwanachama wa chama chochote, japo mbeleni naweza kuwa mwanachama kule ambapo moyo na utashi wangu mwema utanisukuma), na ushauri huu ni wa wazi usio na hila.
Wasalaam
Bishop Dickson Cornel Kabigumila
ABC GLOBAL
19.03.2025FORM NO ELECTION
Naelewa na ninafahamu ni ukweli wa wazi kwamba CHAGUZI zilizopita zilijaa dhuluma, ukiukwaji wa haki na hata vifo vya Watanzania wenzetu,

Nimeitoa kwa
Bishop Dickson Cornel Kabigumila
Facebook.
Unapotengeneza sera ambayo hujaifanyia utafiti, mwisho wa siku unashindwa kuitetea inawavuruga. Hili ni kaa la moto na litawadhalilishaNaelewa na ninafahamu ni ukweli wa wazi kwamba CHAGUZI zilizopita zilijaa dhuluma, ukiukwaji wa haki na hata vifo vya Watanzania wenzetu,

We poyoyo kafanye kazi acha kupoteza muda kwenye mambo ya kipuuzi hakuna wa kuweza kuzuia uchaguzi mkuu.Naelewa na ninafahamu ni ukweli wa wazi kwamba CHAGUZI zilizopita zilijaa dhuluma, ukiukwaji wa haki na hata vifo vya Watanzania wenzetu,

nafsi uliyoitumia kwenye title it's contrary to your position in the content 🚮🚮🚮Naelewa na ninafahamu ni ukweli wa wazi kwamba CHAGUZI zilizopita zilijaa dhuluma, ukiukwaji wa haki na hata vifo vya Watanzania wenzetu,

📌📌📌Ushauri wa bure kwa uongozi Mpya wa chadema……….
Mikutano yenu izingatie kwa sauti kuu
Mnunuaji wa ukuu wa nchi mwaka 30 pigilieni msumari ajue tunajua yeye atajua hajui..
Uuzwaji wa bandari
Ufujaji wa pesa za walipa kodi
Usalama wa wananchi na nchi/ wahamiaji ni wengi ndio wapiga kura
Uchumi - wakulima na wafanyabiashara
Ajira kwa vijana- Wazee miaka 62 ni wakati wa kustaafishwa
Jeshi kwa ujumla-majukumu yao sio siasa
Afya
Elimu
Itaendelea…….