Watanzania wenzangu

Watanzania wenzangu

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
Watanzania maskini na wa hali ya Kati Km mie kwanini mnapenda kushobokea matajiri au watu wanaopiga hela ambao hawakusaidii hata kidogo? Naona mamilioni mnaowafuata Insta wenzenu wanapiga pesa za matangazo cjui promo cjui ubalozi nyie hamuambulii hata mia zaidi ya kupoteza bundle tu ambazo zinapanda bei kila siku.

Najua mtanishtumu kuwa na wivu cjui nn but I call it common sense; trade for trade; hao kina Gigy Money cjui Diamond, Mange, Rayvanny cjui nn wanawasaidia nn? Na pia why follow them if u can just view tu and not comment the same goes for anyone ambaye anapost upuuzi tu na umbea ambao unadhalilisha watu na haukusaidii hata kidogo?

Kuna accounts ambazo wanauza bidhaa, vyakula sometimes even good advice about life I can understand but pia sio lazima uwafuate; u can view them Km YouTube tu bila subscribe Wala nn na Km kulipwa waache walipwe kwa views. Tuache shobo cc maskini au watu wa Kati and the same goes kwenda kw viwanja vya bei kubwa when bora tule zetu mtaani na kuwasaidia walala hoi wenzetu Km nguo za kawaida.

Watanzania wengi maskini wanapoteza kipato chao to impress people who aren't interested in them kabisa. Mtu kipato 200k kw mwez unaenda kula Samaki Samaki kila weekend kisa Idris Kapost anakula uko. Mtu kipato 500k unataka new iPhone kila mwaka kisa Shilole does the same. Mtu una 300k kipato unataka designer clothes Km Diamond. Mtu una 600k per month u want a city center apartment Km Nandy.

Mtu unaingiza hata 1m unataka umspoil demu wako na Tanzanite, gari cjui na kumpeleka Paris cjui wap nn then unakopa na demu anakuacha unabaki na hasira. Hawa watu wote cc ndo tunawapa utajiri then tunalalamika.

Mimi nasema unfollow wote tu and pia Insta tumia once a week to view tu what's new and don't comment; be selfish na buy what u can afford with your income. You only have this one life and it's passing by so fast. Ivi utakanyaga miaka 50 bado unasubiri umbea wa Mange Au cjui nan kapost Insta???😡😡😡
 
Trade the Grammy plaques just to have my granny back
 
naunga mkono hoja.

binafsi sina account FB, Insta wala Facebook maana sijaona bado faida yeyote kuingi huko, JF na Linkedin zinanitosha.
 
Masikini wengi hawana cha kufanya.
Kazi yao kucheza bao,draft, Kukaa vijiweni, kutembeleana bila sababu, ku subscribe bila sababu. Kusikiliza mziki muda mwingi, kukaa nyumba za ibada muda mwingi. Kuangalia mpira muda mwingi.
Kufanya kazi muda mchache na kuendelea kuwa umasikini na mlalamishi.
 
Back
Top Bottom