GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tukifanikiwa sawa ila tukianguka basi tusianze Kulaumiana wala Kununiana au hata Kuwatafuta Wachawi. Ombi langu tu nawaomba Wahusika Siku za baadae wanijumuishe An Eagle katika Kamati ya Fitna na Umafia ( Roho Mbaya Iliyokithiri na Isiyo na Huruma kwa Wageni ) dhidi ya Wageni wanaokuja Kupambana nasi hapa Temeke kwani nina uhakika kila atakayeingia hatotoka salama kuliko ilivyo sasa Wageni wanakuja na ' wanatupiga ' hapa hapa Kisha wanatupa Mlima Mrefu wa Kupanda pale tukienda Kwao.
Kama tulimweza ' Mwarabu ' wa mbali huko Misri na ' akapigwa ' tena vizuri tu hapa Temeke ilikuwaje tukamshindwa ' Mwarabu Koko ' tena ambaye hata hatoki mbali nasi Kijiografia hapo tu juu ya Uganda na ' akatuumiza ' hapa hapa Nyumbani? Na kinachonima zaidi An Eagle ni kwamba Wao huko nchini Kwao hali ya Amani si nzuri ( wanapitia Kipindi cha Mpito Kiutawala ) wakati huku Sisi Tanzania tupo Shwari hakuna Shari halafu hapo hapo ' wanatutenda ' vibaya.
Niliumia sana na bado pia naumia mno. Nipeni hilo ' Jukumu ' Watanzania mfurahi kwa kila ajaye nchini.