Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Kwa Bashir hatutoki, labda tufanye miujiza ya Maximo
Miujiza imefanyika kweli. Ila hii ni ya Ndairagije na siyo Maximo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Bashir hatutoki, labda tufanye miujiza ya Maximo
Kipigo kiko palepale hakuna kufurukuta. Tunapigwa vizuri na tunarudi vizuri tu.
Miujiza imefanyika kweli. Ila hii ni ya Ndairagije na siyo Maximo.
Kinachonisikitisha katika Uzi huu kuna Watanzania wenzetu waliombea kabisa tufungwe huku wengine wakisema Timu haiwezi Kuibuka na Ushindi huko kwa Kuwatoa Wasudani sasa sijui sasa hivi wakirudi katika huu Uzi na wakazipitia tena ' Posts ' zao watajisikiaje au watatuambia nini? Na hapa ndipo Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mzee Kikwete alisema kuwa Siku zote tuwe tunaweka Akiba ya maneno ili tusije Kuumbuka hapo baadae pindi mambo yakigeuka.
umeandika takataka ili ujifanye kwenda sambamba na kile alichoandika kigogo kule twitter.Umeusoma na Kuuelewa Uzi vizuri Ndugu?
umeandika takataka ili ujifanye kwenda sambamba na kile alichoandika kigogo kule twitter.
halafu si ni wewe kwa kutumia ile ID yako nyingine ulijafanya kuandika kuhusu kutoweka kwa kigogo?.
jamaa karudi upya na ubora wake wa kutuhabarisha yaliyo ya ndani zaidi upo juu kileleni. aibu yako.
na sis ambao tayar tulisha jiandaa kiasaikolojia tuna ruhusiwa kucomment ???Kinachonisikitisha katika Uzi huu kuna Watanzania wenzetu waliombea kabisa tufungwe huku wengine wakisema Timu haiwezi Kuibuka na Ushindi huko kwa Kuwatoa Wasudani sasa sijui sasa hivi wakirudi katika huu Uzi na wakazipitia tena ' Posts ' zao watajisikiaje au watatuambia nini? Na hapa ndipo Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mzee Kikwete alisema kuwa Siku zote tuwe tunaweka Akiba ya maneno ili tusije Kuumbuka hapo baadae pindi mambo yakigeuka.

huyu jamaa ili umuelewa inatakiwa utulie
ch*ko wewe. nimekuumbua na tabia yako ya kujitia kiherehere.Huu Uzi unaongelea Mpira wa Leo na Matokeo yake au Swala la Bwana wako huyo Kigogo? Pumbavu!
Kipigo kiko palepale hakuna kufurukuta. Tunapigwa vizuri na tunarudi vizuri tu.
Naamini mmepata matokeo na hapo mlipo mnajiskia AIBUKwa Bashir hatutoki, labda tufanye miujiza ya Maximo
Naamini mmepata matokeo na hapo mlipo mnajiskia AIBU