Watanzania wote tuanze mapema Kujiandaa Kisaikolojia kwa lolote lile ambalo huenda tukalisikia Kuanzia Saa 4 Kamili Usiku wa leo

Kinachonisikitisha katika Uzi huu kuna Watanzania wenzetu waliombea kabisa tufungwe huku wengine wakisema Timu haiwezi Kuibuka na Ushindi huko kwa Kuwatoa Wasudani sasa sijui sasa hivi wakirudi katika huu Uzi na wakazipitia tena ' Posts ' zao watajisikiaje au watatuambia nini? Na hapa ndipo Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mzee Kikwete alisema kuwa Siku zote tuwe tunaweka Akiba ya maneno ili tusije Kuumbuka hapo baadae pindi mambo yakigeuka.
 
Teh.... [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
 

Taifa stars ukiisifia huwa inachemsha, bora walivyoenda kinyonge
 
Umeusoma na Kuuelewa Uzi vizuri Ndugu?
umeandika takataka ili ujifanye kwenda sambamba na kile alichoandika kigogo kule twitter.

halafu si ni wewe kwa kutumia ile ID yako nyingine ulijafanya kuandika kuhusu kutoweka kwa kigogo?.

jamaa karudi upya na ubora wake wa kutuhabarisha yaliyo ya ndani zaidi upo juu kileleni. aibu yako.
 

Huu Uzi unaongelea Mpira wa Leo na Matokeo yake au Swala la Bwana wako huyo Kigogo? Pumbavu!
 
na sis ambao tayar tulisha jiandaa kiasaikolojia tuna ruhusiwa kucomment ???
 
na sis ambao tayar tulisha jiandaa kiasaikolojia tuna ruhusiwa kucomment ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…