Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndo maandazi kweli .. Yam mpaka leo umeshindwa kutumia "l" na "r" kwenye sentensi mtu mzima unamiliki email, una password JF..Juisi unaandika Jwisi..ukwaju hauokotwi wewe boya...Watanzania ni mamburura hata ukianzisha biashara ya kuuza mavi watakuja uwaaajili hali kila mmoja ana choo kwao.
Jwisi ya ukwaju tumeanza kunywa zamani sana hapo mnazi mmoja karibu na kituo cha polisi.Leo jitu lenye misuli linatembea na sharubu zake linauza ukwaju eti limeajiliwa,limeshindwa kwenda polini kuokota ukwaju na kuja kugandisha na kuuza.Yameshindwa hata kukopi teknolojia ya kufunga tu.Wauza ukwaju hongeleni sana kwa kuajiliwa.
Watanzania ni mamburura hata ukianzisha biashara ya kuuza mavi watakuja uwaaajili hali kila mmoja ana choo kwao.
Jwisi ya ukwaju tumeanza kunywa zamani sana hapo mnazi mmoja karibu na kituo cha polisi.Leo jitu lenye misuli linatembea na sharubu zake linauza ukwaju eti limeajiliwa,limeshindwa kwenda polini kuokota ukwaju na kuja kugandisha na kuuza.Yameshindwa hata kukopi teknolojia ya kufunga tu.Wauza ukwaju hongeleni sana kwa kuajiliwa.
Yes.This is a lie!
Hivi hao jamaa mikoani wapo kweli au ni dar peke yake?
Hawa hawana mshahara...watakua wanalipwa kutokana na ulizouza. Lazma uchakarike. Ni system nzuri ya na asiyefanya kazi na asile
Kuna vibegi aina mbili, kuna vile vidogo na yale makubwaYaani hata mie nikiwaona nawaza mengi
unakuta mtu kavaa kale kabegi amekaweka kwa mbele kifuani, wanatembea juani.
Halafu mkaka kama huyo umwambie atume na ya kutolea, unapata dhambi!!!
Kwa aina hii ya uuzaji naona kama it irritating. Kuna mmoja ndio mchezo wake anakufata mpaka usoni anakupigia kelele juzi kati walimfukuza nusura apate kichapo.wwnakufata hadi usoni mara mbilimbili wakikushawishi ununue icecream, akiondoka anaibuka mwingine, na kila mmoja anavionjo vyake tofauti vya sales skills
Mikoani wapo wengi hata Mimi nawaona.Mikoani watoke wapi!
Win win situation!IHawa hawana mshahara...watakua wanalipwa kutokana na ulizouza. Lazma uchakarike. Ni system nzuri ya na asiyefanya kazi na asile
😁😁😁😁 eti "mtu mzima unamiliki email na password jf juisi unaandika jwisi"😁😁😁😁😁Wewe ndo maandazi kweli .. Yam mpaka leo umeshindwa kutumia "l" na "r" kwenye sentensi mtu mzima unamiliki email, una password JF..Juisi unaandika Jwisi..ukwaju hauokotwi wewe boya...
Umeharibu thread ya Mkuu na kiswahili chako cha kiduanzi.
Zitaje bossKuna watu wanapenda kuajiriwa na kuna wengine wanapenda kujiajiri.
Ila biashara ya juani kama unafanya yako kwa style wanayoitumia hawa jamaa unatengeneza hela Sanaa sanaa.
Zipo za mitaji midogo ya kuanzia mpaka elfu kumi tuu.