google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
unawapenda wakivaa orenji au unapenda ice cream ?Hawa jamaa wametapakaa mitaa yote.
Nimejaribu kuwalinganisha na watafutaji wengine hawa wako aggressive na wanakomaa bila aibu wala kujishuku huku wakiwa na sura zilizojaa ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya asubuhi hata jioni.
kiufupi hawa jamaa nawakubali sana, na ndio role model wangu wa kukomaa hadi sasa.
Mungu awabariki wakuu. kama una wanajf humu wanasukuma zile icecream za kuwaju wale wanavaa nguo za orenji Nawwapenda sana.