Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,779
Daima nitaishangilia stars
...tuwanange na kuwapuuza wote wale wanaodai eti timu yetu ya taifa (Taifa Stars) imefungwa huko Lesotho. Tuwe wazalendo na tuitetee nchi yetu.
Magufuli oooyeee! Hapa kazi tu.