Tupe vitu kamili mkuu, raha ianze mapema...Sasa anaeongea ni makamu wa pili wa rais zanzibar nae amewabeza kina sheikh ponda
Tupe vitu kamili mkuu, raha ianze mapema...
Ndiyo hicho wengine tunachosubiri kwa hamu kubwa. Mungu atuweke hai , tutakutana hapahapa wakati wa zoezi linaendelea mpaka linaisha...Hao wote hawajui wanalofanya.
Kumbeza ponda sio sababu ya kutushawishi kuhesabiwa.
Watabeza, watasema sana lakini HATUHESABIWI.
Wakitaka waweke kipengele cha dini kwanza.
Hii sensa naisubiri kwa shauku kama fainali ya nini sijui...nadhani tutapata uhondo ndani ya hizo siku saba...ni RAHA ilioje mkuu wa mkoa wa darisalama atakaposimamia zoezi la kuwadhibidi waislam wenzake...
Ndiyo hicho wengine tunachosubiri kwa hamu kubwa. Mungu atuweke hai , tutakutana hapahapa wakati wa zoezi linaendelea mpaka linaisha...
Wao kwa wao yetu macho maana waliwatumia wakapata wanachotaka wakawaacha tupu. Sasa wanawasumbua wao wenyewe.
Haya bana, yetu macho...Hakuna mwenye uwezo wa kuwaadhibu waislamu isipokuwa aliye waumba tu.
Wasitutishe, hatukubali kuhesabiwa na hakuna lolote wanaloweza kufanya.
Hao wote hawajui wanalofanya.
Kumbeza ponda sio sababu ya kutushawishi kuhesabiwa.
Watabeza, watasema sana lakini HATUHESABIWI.
Wakitaka waweke kipengele cha dini kwanza.
safi sana...angeongea kiongozi wa dini nyingine ungesikia MFUMO KRISTU...sasa kasema mjahidina mwenzao.....
Mkuu fanya Yote ila usigomee sensa! Mi nipo huku kwenye Mafunzo. Nachotaka kukuambia akikushawishi karani uesabiwe ni bora ukakubali..
Maana Tumeambiwa kuwa Kama mtu akigoma Unanyanyua simu yako unampigia Msimamizi mkuu, sasa yeye ndo atajua cha kufanya..
KILA MTU ATAHESABIWA