Escobar
JF-Expert Member
- Sep 16, 2011
- 574
- 441
Mkuu wa mkoa wa Dar anaongea live sasahivi kuwa hakutakuwa na kipengele cha dini katika sensa na kuna kikundi kidogo cha mashehe kinawapotosha waislam safi kwa maslah yake binafsi hivyo watachukuliwa hatua za kisheria!
Pia ameongoza kuwa hata jana kuna watu wameonekana wakiongea kwenye vyombo vya habari wakipinga na pia wamekuwa wakigawa vipeperushi vinavvyohamasisha kugomea sensa, serikali inajua na itawashughulikia kwa mujibu wa sheria!
Serikali haihesabu watu ili ijenge vyuo vya mashehe bali ni kwa maendeleo ya nchi.
Source: TBC LIVE kutoka Mnazi mmoja kwenye uzinduzi rasmi wa sensa