Watapigia wapi kura?

Watapigia wapi kura?

Laswell

Senior Member
Joined
Feb 23, 2024
Posts
144
Reaction score
191
Salaam,

Naulizia kuhusu hili kundi la watu laki kadhaa ambao watakuwa vyuoni mwezi na tarehe ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

Wengi wamejiandikisha kwenye vituo vilivyopo majumbani kwao ambapo walikuwepo kabla vyuo havijafunguliwa. Hawa watu ni wengi sana(vyuo vya chini, kati na vyuo vikuu).

Watapigia wapi kura au uchaguzi wa serikali za mitaa sio muhimu sana kwao wasubiri uchaguzi mkuu?
 
Wewe subiria matokeo tu watu watakavyoshinda kwa kishindo mpaka wapiga kura watashangaa wenyewe.
 
Back
Top Bottom