Watasema mchana, Usiku watalala

Ahyan

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2019
Posts
2,310
Reaction score
5,482
Game zinapigwa, timu inapata ushindi... Wachezaji wanalipwa... Mashabiki na wanachama wanafurahi... Hayo ndio ya msingi kwasasa...

Hayo mengine ya sijui GSM anatumika sisi hayatuhusu

Yanga hoyeeee
 
Usikute mtoa uzi ni moderator wa jana. Mwenye tabia za mipasho kama raisi wake
 
Heading inaonesha jinsi ulivo mchawi.
 
Game zinapigwa, timu inapata ushindi... Wachezaji wanalipwa... Mashabiki na wanachama wanafurahi... Hayo ndio ya msingi kwasasa...

Hayo mengine ya sijui GSM anatumika sisi hayatuhusu

Yanga hoyeeee
Simba ilikuwa inapata matokeo Uto mkaanza MOO atoe Bil 20 mkazusha weeee kelele na Fitina.
Sasa Vijana wa Mujini wameanzisha Kampeni ya UBAYA UBWELA lengo mpasuke msambaratike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…