Watashuka daraja

Watashuka daraja

Mtibwa Leo kadroo na polisi hii timu ilikua na wachezaji Kama 15 Wana mafua wameomba mechi ipelekwe mbele tff wamekataa
Mimi kwanza ningependa unithibitishie kuwa waliomba waahirishiwe lakini TFF ikakataa. Niliona clip inamuonyesha kiongozi wa Mtibwa akielezea hali ya kambi yake ilivyokumbwa na mafua, lakini sikumsikia akisema kwamba wameomba waahirishiwe. Kama kuna kielelezo kingine tusaidie wengine huenda kimetupita

Ingekua Simba na Yanga wangekubali
Lkn kwa makolo wanakubali. Yaan tff kwa makolo ni wanyonge sana.
Acheni uswahili, timu isipoomba kuahirishiwa mechi, maana yake ipo tayari kucheza hivyo hivyo. Mtibwa wameelezea kuwa wamekumbwa na homa, lakini hawakuomba mechi iahirishwe. Yanga walielezea kuwa wachezaji wao kadhaa wamekumbwa na homa hiyo, lakini hawakuomba mechi iahirishwe. Sasa kwa nini muilamu TFF wakati taarifa ya kuomba kuahishiwa mechi haikutolewa? Huu ni uswahili na ujinga
 
TFF wanajua kuhusu hichi unachoeleza hapa?
 
Simba waliandika barua?

Kumbe ulikuwa unachangia mada kwa kulalamika wakati kumbe hujui hata taratibu zinazotakiwa na zilizochukuliwa? Hata kama mliishia madarasa ya chini, hizi taratibu ndogo ndogo za kiofisi ni muhimu muwe mnazifahamu

1640103544486.png
 
View attachment 2052702
Onyesha hapa hiyo barua Ya Simba waliyowaandikia TFF kuhusu wao kua na mafua
 
Taarifa za kitabibu hao TFF walizipata wapi?

Yaani mkuu mm nataka uweke hapa hiyo barua Simba walitowatumia TFF kuomba kuahirisha mechi
Sentensi yako ya pili imejibiwa na swali lako katika sentensi ya kwanza
 
Yani hata hujui unachokiandika ngoja nikuache tu
Sio uniache, toa shukrani kwa kuchota maarifa ya namna ya kuendesha mambo kiofisi. Serikali haifanyi kazi na waraka wa sauti za vyombo visivyo vyake, inafanya kazi na waraka wa maandishi
 
Kasome Uzi alafu urudi kwenye comments ulizoziandika
 
Acheni uswahili, timu isipoomba kuahirishiwa mechi, maana yake ipo tayari kucheza hivyo hivyo. Mtibwa wameelezea kuwa wamekumbwa na homa, lakini hawakuomba mechi iahirishwe. Yanga walielezea kuwa wachezaji wao kadhaa wamekumbwa na homa hiyo, lakini hawakuomba mechi iahirishwe. Sasa kwa nini muilamu TFF wakati taarifa ya kuomba kuahishiwa mechi haikutolewa? Huu ni uswahili na ujinga
Rejea hapo...Ni wapi Simba waliomba mechi ihairishwe?? Au bodi ya ligi walijiongeza wenyewe baada ya kusikia tetesi za taarifa hiyo?
 
Kasome Uzi alafu urudi kwenye comments ulizoziandika
Post ya uzi imesema Mtibwa imeomba mechi iahirishwe lakini TFF imekataa. Wewe unayesapoti ujinga huo onyesha barua walau mojawapo, either inayotoka Mtibwa kwenda TFF kuomba kuahirishwa au inayotoka TFF kwenda Mtibwa ikikataa kuahirishwa
 
Back
Top Bottom