Watashuka daraja

Watashuka daraja

Rejea hapo...Ni wapi Simba waliomba mechi ihairishwe?? Au bodi ya ligi walijiongeza wenyewe baada ya kusikia tetesi za taarifa hiyo?
Serikali na vyombo au taasisi zake hata ikipata tetesi na kutaka kuzifanyia kazi, lazima izibadili kuwa katika maandishi. Usiwe mbishi
 
Serikali na vyombo au taasisi zake hata ikipata tetesi lazima izibadili kuwa katika maandishi. Usiwe mbishi
Kwahiyo TFF hawakupata tetesi za wachezaji wa mtibwa kuumwa?

Waahirishe mechi Kama ilivyokua kwa Simba?
 
Post ya uzi imesema Mtibwa imeomba mechi iahirishwe lakini TFF imekataa. Wewe unayesapoti ujinga huo onyesha barua walau mojawapo, either inayotoka Mtibwa kwenda TFF kuomba kuahirishwa au inayotoka TFF kwenda Mtibwa ikikataa kuahirishwa
Wewe onyesha iliyotoka Simba kwenda TFF hapa jamvini tatizo liko wapi?
 
.View attachment 2052742
Screenshot_20211221-195818_1.jpg
 
Kwahiyo TFF hawakupata tetesi za wachezaji wa mtibwa kuumwa?

Waahirishe mechi Kama ilivyokua kwa Simba?
Kama ulifeli,hauna haja ya kurudia mtihani.Maana utafeli tena.

Ushaambiwa TFF hawafanyi maamuzi Kwa kusikiliza tetesi,bali wanafanya maamuzi Kwa kupokea tarifa za kimaandishi.[emoji28]
 
Kama ulifeli,hauna haja ya kurudia mtihani.Maana utafeli tena.

Ushaambiwa TFF hawafanyi maamuzi Kwa kusikiliza tetesi,bali wanafanya maamuzi Kwa kupokea tarifa za kimaandishi.[emoji28]
Taarifa za maandishi kutoka wapi?
 
Kama ulifeli,hauna haja ya kurudia mtihani.Maana utafeli tena.

Ushaambiwa TFF hawafanyi maamuzi Kwa kusikiliza tetesi,bali wanafanya maamuzi Kwa kupokea tarifa za kimaandishi.[emoji28]
Ukizipata hizo taarifa za maandishi kutoka huko kwa watabibu kwenda TFF weka hapa acheni janja janja
 
Acheni uswahili, timu isipoomba kuahirishiwa mechi, maana yake ipo tayari kucheza hivyo hivyo. Mtibwa wameelezea kuwa wamekumbwa na homa, lakini hawakuomba mechi iahirishwe. Yanga walielezea kuwa wachezaji wao kadhaa wamekumbwa na homa hiyo, lakini hawakuomba mechi iahirishwe. Sasa kwa nini muilamu TFF wakati taarifa ya kuomba kuahishiwa mechi haikutolewa? Huu ni uswahili na ujinga
Soma hapa wewe mzungu
Screenshot_2021-12-21-19-52-24-37.jpg
 
Umeambiwa lete barua ya nyau kuomba kuahirisha mechi unakwepa kwepa! Litimu lenu linadekezwa sana
Kama huwezi kutafsiri maudhui ya barua ya TFF, haustahili kuwemo kwenye jukwaa hili la Great Thinkers
 
Linyau makamasi fc wanadekezwa mno. Ifije hatua kuwe na ile f
Wanayoita fair competition
 
Back
Top Bottom