3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
mlisema ndoa ya tff na simba imekufa baada ya sakata la barbra kuzuiwa kuingia uwanjaniLkn kwa makolo wanakubali. Yaan tff kwa makolo ni wanyonge sana.
au uko usingizini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mlisema ndoa ya tff na simba imekufa baada ya sakata la barbra kuzuiwa kuingia uwanjaniLkn kwa makolo wanakubali. Yaan tff kwa makolo ni wanyonge sana.
Mkuu unachokitaka wewe kwa Mtibwa ni hatua walizofanya kimaandishi kwenda kwa TFF au bodi ya ligi, lakini kwa Simba haukuleta hatua walizozifanya kimaandishi bali umeleta maamuzi ya TFF.Hii ndio barua?
Hiyo paragraph ya pili ni ya barua?Soma paragraph ya pili, usipo elewa sina jinsi ya kukuelezea
Let's assume you are rightHiyo paragraph ya pili ni ya barua?