Watato wakiniona huwa wanacheka sana na kunizoea hata niwe mkali

Ungeeleza aina ya malezi yako utotoni yalikuaje na wewe ni mtu wa aina gani moyoni? Ingependeza zaidi

Mama anasema mimi peke yangu ndiyo sijamsumbua kabisa,
Nilikuwa napendwa sana na watu na nilikuwa ni mtoto asiyechukia kirahisi japo nina Mood sana. (Sijui kama kweli)
walikuwa wanapenda kuficha vitu kwasababu watu wakiomba au waje kuazima nilikuwa sijui kuwanyima.
Nilivyokuwa kama miaka 6 hivi nilikuwa naongea sanaaaa kama cherehani.....
Niendeleee ????
 
Aaah come on RRONDO ,
Women are the least of my worries for now,
BTW JF is the last street on Earth that i would try hook up with someone.
Literary, the last street on Earth................

Sorry if I interrupt. .....

Just walking away...... hehehehe.
 
Duh tupk wengi,

Ila mim watu wazima wananiogopa sana,

Hata nkienda stationary nataka kuchapa wanajibu hatuna wino,

Nkienda sehem za m pesa, wanasema hawana hawana hizo huduma,

Huwa napata shida sana
 
Hahaha mi haya maneno yako ndo yananchekesha[emoji23][emoji23][emoji23]eti likatuni
Kupendwa na watoto ni raha,utakua una karoho ka malaika
Mhhh, Roho ya Malaika hapana mkuu.
Sema watankuwa waniona mimi kama mwenzao hivi au likatuni....
 
That song got into you eeh ???
Hahahahaha

Yeah so much.....

You inflate a virus in my mind and can't scan it out. It just pop up now and then.....

Just like the other song.... The one that go viral over a week.....

Do you belive in Miracles. ...... hahahahahahahhaa

Utakoma hadi utakifu ukorofi wa Kasie.
 
Basi kids wanacommunicate ktk utoto wako thru yo face...una hiyo hali bado
 
Angalia usije ukaambiwa ni babu seya dunia imebadilika sana
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…