Watato wakiniona huwa wanacheka sana na kunizoea hata niwe mkali

Acha kuzunguka vinashangaa hizo sharubu zako!!
 
Mimi leo watoto wamenikimbilia walikuwa wanne wanniita aunt aunt lo
 
Ndio wanakuona kama katuni.
 
Nitofauti yeye asilimia kubwa wakimwona wanakufa mbavuuu best yako yeye anafuatwa kania ya kuwazoesha kuwa nao au damu yake imeivana nao ilanilicheka sana
 
Vituko vya Watoto ni raha sana

Juzi hapa mdogo wangu kajifungua mtoto sasa yule dada mtu analia ananiambia anko nisaidie tumtupe huyu mtoto.
Yaaani anagalagala chini anamwonea wivu mdogo wake.
 
Juzi hapa mdogo wangu kajifungua mtoto sasa yule dada mtu analia ananiambia anko nisaidie tumtupe huyu mtoto.
Yaaani anagalagala chini anamwonea wivu mdogo wake.
Ahsante sana Kiongozi.

VITUKO vya Watoto ni burudani tosha.

Napenda sana VITUKO vya Watoto.

Napenda sana Watoto.

Nawapenda sana WATOTO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…