watatoboa kweli

watatoboa kweli

Joined
Oct 25, 2017
Posts
20
Reaction score
17
crdb bank kweli watatoboa soko la Dubai au ndoo itakuwa kama chato maana operational cost za Dubai ni kubwa sana na kingine Wana ubunifu mzuri kuingia sokoni .
 

Attachments

  • images (5).png
    images (5).png
    20.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250218-025843.jpg
    Screenshot_20250218-025843.jpg
    324.6 KB · Views: 3
Wanazo nyingi sana Mkuu kama za bima. Pia wana wateja wengi kutoka Tanzania ambao wanafanya biashara Dubai na wana nafasi pia ya kufanya benki kuwa ya kimataifa kama Stanbic, Standard Charters, Barclays, Access na nyinginezo ambazo ni multinational banks.
ni very simple kueleza hayo ila in reality things ziko tofauti sana
 
Back
Top Bottom