Baada ya kumdunda katibu wao anajua wazi asipowalaghai kwa kujipendekeza mapema, baada ya kujitwalia madaraka kwa uchaguzi wao haramu atapata taabu sana kuitawala hii nguvu ya kikatoliki.Mama yenu anajipendekeza sana kwenye kanisa letu, akitumia propaganda za kila aina kuonekana kila upande unamkubali.
Hivi kwenye nyumba ya tai, hawa ndugu zetu hawanakitego kweli? Usikute kitengo wamefanya mambo haya yatokee...!hapo @ sista kapewa bahasha ya kaki!!.
Aya ganibut ni muslim, Christian anawezaje kumuombea muslim amtawale? lengo la muslim ni binadamu wote mwisho wa siku wawe muslim kwa njia yoyote ile, imeandikwa kwenye Kurani yao, hao masista ni antichrist?
i am confused ...
πππππHivi tuache utani, hawa wamama(masista wanaonekana hapo) ina maana wote ni mabikra kweli?! Hawapelekewi moto?!
Tunadanganyana sana! Hawa ni WASIMBE WALIOVALISHWA MAVAZI YA USISTA KWA KAZI MAALUM!.
Hakuna sister timamu anaeweza pingana na TEC
Anadanganywa sana na wana mtandao, kwamba wao watamlinda kwa hali na mali.Baada ya kumdunda katibu wao anajua wazi asipowalaghai kwa kujipendekeza mapema, baada ya kujitwalia madaraka kwa uchaguzi wao haramu atapata taabu sana kuitawala hii nguvu ya kikatoliki.
Ukute hao ni ma CHAWA akina Tlaatlaah wamevishwa hayo mavazi ya watawa ili kuwapanga watuWatawa wa Shirika la Masista wa Afrika wa Benedektina Bikra Maria Msaada wa Kristo Ndanda wamesema wanamuunga mkono Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa wana imani na uongozi wake
Wameahidi kuendelea kumuombea Dkt. Samia ili ashinde katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025
Soma pia
- Kanisa katoliki lapiga marufuku kwa watawa kujihusisha na kampeni za siasa
- Samia afanyiwa dua na sala na Masista wa Ndanda