GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,885
- 18,636
Na uwanjani napo walilazimishwa kwenda.Nimeona kule X wadau wakisema kwamba
Walilazimishwa kushika hizo bendera ili apate picha,hao watawa wamefanya kwa kulazimishwa na sio kwa hiari yao
Kulingana na mdau wa kule X
Watawa wa Shirika la Masista wa Afrika wa Benedektina Bikra Maria Msaada wa Kristo Ndanda wamesema wanamuunga mkono Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa wana imani na uongozi wake
Wameahidi kuendelea kumuombea Dkt. Samia ili ashinde katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025
Soma pia
- Kanisa katoliki lapiga marufuku kwa watawa kujihusisha na kampeni za siasa
- Samia afanyiwa dua na sala na Masista wa Ndanda
Si wameifungia?TCRA walipaswa wawaambie JF watoe maudhui haya kwenye mtandao wao.
Baadhi ya waumini wanaweza kudhani kanisa katoliki linamuunga mkono mgombea wa ccm hivyo kuwaathiri na kupelekea wao kumpigia kura kitu ambacho ni kosa kwa mujibu wa kanisa katoliki.
Wale mabibi nani awaoe?Watakuwa wanatafuta sababu za kuachishwa usista ili wakaolewe.
Wamewazuia wadanganyika wao ccm huoni nyuzi zao ndio zinatawala humu?Si wameifungia?
Hao wamelaaniwa!Watawa wa Shirika la Masista wa Afrika wa Benedektina Bikra Maria Msaada wa Kristo Ndanda wamesema wanamuunga mkono Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa wana imani na uongozi wake
Wameahidi kuendelea kumuombea Dkt. Samia ili ashinde katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025
Soma pia
- Kanisa katoliki lapiga marufuku kwa watawa kujihusisha na kampeni za siasa
- Samia afanyiwa dua na sala na Masista wa Ndanda
Hapo sasa! 😃 hao sio wakatoliki ni malofaMalofa na wapumbavu hawakuandika barua kuhusu hili kwenda Vatican