Watawala mmejisahau, tafadhali rudisheni visu vyenu katika ala zenu, hamuitakii mema nchi hii

Watawala mmejisahau, tafadhali rudisheni visu vyenu katika ala zenu, hamuitakii mema nchi hii

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Nawakumbusha kitu kimoja tu, and this is very important. Hata hao mnaojivunia , kuna wengi wao hawapendi haya maonevu yanayoendelea.

Naomba sana malaika awatokee mbadilike.....ukiangalia Aljazeera ukaona sufferings zinazoendelea dunia ya waarabu, especially Gaza, si vizuri kuendeleza haya mnayoyafanya kwa wananchi wasio ndani yenu.
 
Uwezo wa gari sinaaaaa
Uwezo wa nyumbaa sinaaa

Uwezo wa magari sinaaa
Hata kibanda sinaaaa

Aaah ila kwakuwa nipo hai napumua.
Akiamungu tapambana ufurahi..

Ila kwakuwa nipo hai napumua..
Basi acha tukuimbieeee

Happy birthday....walllah
 
Wamelewa madaraka mkuu mpaka.....

Nimesoma kwenye Biblia Farao aliwaachia Israel baada ya mauti kwa wazaliwa wao wa kwanza......

Chochote chaweza kutokea kuanzia sasa mpaka wakati wa uchaguzi....ili watawala wajue yuko Mungu pia.
 
Nawakumbusha kitu kimoja tu, and this is very important. Hata hao mnaojivunia , kuna wengi wao hawapendi haya maonevu yanayoendelea.

Naomba sana malaika awatokee mbadilike.....ukiangalia Aljazeera ukaona sufferings zinazoendelea dunia ya waarabu, especially Gaza, si vizuri kuendeleza haya mnayoyafanya kwa wananchi wasio ndani yenu.
Ukishakula nyama ya mtu huwezi acha
 
Hakuna jambo lisiloishia,Na kukurupuka na kutupa miguu kwa mwanadamu pindi anapokuwa anakufa hakuashiriagi kuyafukuza mauti.BALI NI KUYAPOKEA MAUNGONI NA KUINDOKANA NA UHAI DAIMA.
 
Back
Top Bottom