Watch "10 Richest African Musicians 2017 Forbes List" on YouTube

Naona wameanzia Dollar million 6 huku diamond yupo dollar million 4 so bado hata hao si wote kuna davido,na wengne wengi tu
 
timu Domo list mpya kabisa ya wasanii wenyewe pesa Africa sasa endeleeni kujitekenyenya pumbav zenu.
Dada hapo umewapatia haswa,wakikuuliza mbona kiba hayupo ..... waambie kiba si bwana'ko tena mlishaachana zamani sana,kwahiyo humshobokei tena.
 
Wale wanaoshinda sauzi afrika kwenye nyumba za watu na kupiga picha kua ni zao hata top ten kumbe hawamo
Kibakuli namuona top 3 palee[emoji23] [emoji23] endeleeni kujipiga vid*le halafu mnalia wenyewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] team kibakuli bhana
 
watu ambao hata kwenye list hiyo tukiwekwa top trillion,au hata 1,000,000,000,000,000,000,000,000 hatumo kwanin tuna wivu? aya jilinganishe wew na diamond unamfikia kias ganiii? au una dollar ngapi,au nani anakufahamu hapa TZ tuu?
 
Kama kwenye hiyo List Dimond hayumo ni ya uongo na tunaomba muipuuze..

Ndani ya masaa 24 tutawaletea list ya ukweli.Asanteni sana
 
Kutokuwepo kwa diamond hakukuongezei wala kukupunguzia chochote we binti. Diamond Ni kijana mwenzio na Ni mpambanaji.

Tukutane afcon January 14 Gabon
Aibu mmegeuza hasira hahahahaaaaa...
 
Naona wameanzia Dollar million 6 huku diamond yupo dollar million 4 so bado hata hao si wote kuna davido,na wengne wengi tu
Tuliaminishwa jamaa yupo na kwa afrika mashariki ndo anaongoza bt nashangaa kumuona josee
 
watu ambao hata kwenye list hiyo tukiwekwa top trillion,au hata 1,000,000,000,000,000,000,000,000 hatumo kwanin tuna wivu? aya jilinganishe wew na diamond unamfikia kias ganiii? au una dollar ngapi,au nani anakufahamu hapa TZ tuu?
Mbona povu braaah
 
Hahaahaha Bora hata kibA salome aongey sio wew ,diamond anawavunja vichwa,
 
Mbona povu braaah
amn mkuu,si povu...sema nyie watyu ni complicatorz tu katik kujudge maish n mafanikio ya watu ase,kwa hlo nawapa big up coz mnaezaga kuutoa ukweli kwnye njia yake,il uwe uwong.
 
Usiseme uchawi haupo kabla hujapitia posts za kwenye huu uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…