Watch "10 Richest African Musicians 2017 Forbes List" on YouTube

Watch "10 Richest African Musicians 2017 Forbes List" on YouTube

Kiba hanaga usenge wa jamaa yenu wa kujipaisha kizembe
Sio kwamba hajipaishi! Ila hela hana yule hata harmonize wa juzi tu hapa anamshinda sasa atajipaisha kwa lipi? Kaanza game 2004 huko ila simba kaanza 2009 ana billion 10 anawanyima usingizi!
 
Sio kwamba hajipaishi! Ila hela hana yule hata harmonize wa juzi tu hapa anamshinda sasa atajipaisha kwa lipi? Kaanza game 2004 huko ila simba kaanza 2009 ana billion 10 anawanyima usingizi!
Yaah hata manfongo kamzid hela his harmonize mbali sana
 
Watanzania tuna shida sisi!! Hivi mwenzio kuwa na fedha chache kunafanya wewe ghafla uwe na nyingi?
Msigeuze manenooo nlikuwa anasema jamaa yupo kwenye 5 bora misifa mwingine buana
 
amn mkuu,si povu...sema nyie watyu ni complicatorz tu katik kujudge maish n mafanikio ya watu ase,kwa hlo nawapa big up coz mnaezaga kuutoa ukweli kwnye njia yake,il uwe uwong.
Kwa hiyo uwongo n kwamba diamond Humo kwenye 10 bora siyo?
 
Kwa hiyo uwongo n kwamba diamond Humo kwenye 10 bora siyo?
hapana ni ukweli,kwa hilo...ila,angalia ndugu zako na maneno mengne ambayo huwa daily mnamshusha jamaa wakati mnafahamu kam yupo juu.ni uongo?
 
Wale wanaoshinda sauzi afrika kwenye nyumba za watu na kupiga picha kua ni zao hata top ten kumbe hawamo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe za kupitia picha tu da wakati anakwambia ndio msanii wa kwanza kuwa na nyumba south[emoji85][emoji86]
 
Back
Top Bottom