Million dollars
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,508
- 2,068
Sio kwamba hajipaishi! Ila hela hana yule hata harmonize wa juzi tu hapa anamshinda sasa atajipaisha kwa lipi? Kaanza game 2004 huko ila simba kaanza 2009 ana billion 10 anawanyima usingizi!Kiba hanaga usenge wa jamaa yenu wa kujipaisha kizembe
Yaah hata manfongo kamzid hela his harmonize mbali sanaSio kwamba hajipaishi! Ila hela hana yule hata harmonize wa juzi tu hapa anamshinda sasa atajipaisha kwa lipi? Kaanza game 2004 huko ila simba kaanza 2009 ana billion 10 anawanyima usingizi!
hapana ni ukweli,kwa hilo...ila,angalia ndugu zako na maneno mengne ambayo huwa daily mnamshusha jamaa wakati mnafahamu kam yupo juu.ni uongo?Kwa hiyo uwongo n kwamba diamond Humo kwenye 10 bora siyo?
Wewe ni ke au me?Wale wanaoshinda sauzi afrika kwenye nyumba za watu na kupiga picha kua ni zao hata top ten kumbe hawamo
jaza mwenyew,unavoonaAfrika au bongo?
mmojawapo,ni wew nlijua tu utakuja.watu wenye wivu bhanaAcha ufala,unapayuka tu!Dunia ina watu wasiozidi bilion 8!Sasa hiyo top trilion unaweka na nzi,mende,siafu na kunguni?
Wale wanaoshinda sauzi afrika kwenye nyumba za watu na kupiga picha kua ni zao hata top ten kumbe hawamo
Umechemka!mmojawapo,ni wew nlijua tu utakuja.watu wenye wivu bhana
hhahahaa saw bhana.Umechemka!