Watch "cheki mzee fundi wa kuchezea mpira mwisho" on YouTube

Na huyo si mzee ni Pioneer wa Freestyle soccer anaitwa Sean Garnier, alivaa kama mzee.

Huyo ni bingwa wa Freestyle soccer,
Clip yake akiwa na sura halisia
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]



Huyu jamaa na yule mwenye tabia ya kuwapiga matobo wachezaji maarufu(Sofiane Tuozani) , ndiyo wanaojua kuchezea mpira balaa hata shindano la dunia la freestyle soccer waliwahi kuwa majaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…