Na huyo si mzee ni Pioneer wa Freestyle soccer anaitwa Sean Garnier, alivaa kama mzee.
Huyo ni bingwa wa Freestyle soccer,
Clip yake akiwa na sura halisia
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Huyu jamaa na yule mwenye tabia ya kuwapiga matobo wachezaji maarufu(Sofiane Tuozani) , ndiyo wanaojua kuchezea mpira balaa hata shindano la dunia la freestyle soccer waliwahi kuwa majaji