Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,660
wamepiga shanga-shanga makoro-koro kibao wakati freemasons wenzao wa ukweli akina Bush wanapiga masuti ya ukwee tu no shanga-shanga wa koro-koro.....!!!
Wamenichefua na kunifanya ncheke tuuu mana freemason wakisukuma jamanii hawa tena mazingaombwe wazimuu tuuu eti wapejipeleka kuelezea halafu hawajibu wanachoulizwa . Umaskin utatuua jaman mana hawajielewi mara wanatoa mapepo mara wanakufanya upate pesa nying kwa one time. Mwingne anasema eti kiingilio elfu kumi, yan wazimu jaman nimeecheeeka hadi bas na wameniudhi basi tuumh wanaonekana hawa ni waganga wa kienyeji tu, wala sio frreemasons...
Inawezekana wakawa ni wenyewe,
kwani freemason huwa hawaruhusiwi
kusema chochote kinachohusu hilo genge lao,
hivyo wanakuwa makini sana wakati wakujibu maswali.
Acheni woga jamani! These people are everywhere like the air we breath in.
Nia na madhumuni ya wao kwenda studio ilikuwa ni kwenda kuelezea maana hasa ya hao freemasons, na hao freemasons hasa ni akina nani. Kwahiyo kama wao kweli ni freemasons wangelijua hilo hawaruhusiwi kusema mambo yao hadharani na wasingekanyaga studio.
Inawezekana walikurupuka tu,
ndipo wakapewa onyo.
jamaa hamna ki2,wababaishaji ni waganga c mason wala nn