Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 741
hivi hii habari ni ya mwaka huu au mwaka 2007?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi hii habari ni ya mwaka huu au mwaka 2007?
Correction... Mafuta Tanganyika, Mafuta Zanzibar!!! Maana hao hata karafuu wanataka lisiwe jambo la muungano
Kuweka US $ 8 billion kwa kutafuta mafuta kwa nchi ambayo mapaka sasa haina mafuta
Sijawahi kusikia kitu kama hiki - ni pesa nyingi sana. Ama gazeti hili halikuandika sawa au kampuni hiyo haikusema ukweli
Kuweka US $ 8 billion kwa kutafuta mafuta kwa nchi ambayo mapaka sasa haina mafuta
Sijawahi kusikia kitu kama hiki - ni pesa nyingi sana. Ama gazeti hili halikuandika sawa au kampuni hiyo haikusema ukweli
Oil exploration is an expensive, high-risk operation. Offshore and remote area exploration is generally only undertaken by very large corporations or national governments. Typical Shallow shelf oil wells (e.g. North sea) cost USD$10 - 30 Million, while deep water wells can cost up to USD$100 million plus. Hundreds of smaller companies search for onshore hydrocarbon deposits worldwide, with some wells costing as little as USD$100,000.
London, 25 June 2010 - Ophir Energy plc (Ophir) is pleased to announce that one of its operating subsidiaries has
signed a contract with Odfjell Invest for the use of the dynamically positioned ultra deepwater semi-submersible
Deepsea Stavanger on behalf of the Blocks 1, 3 and 4 joint ventures in Tanzania that it operates in partnership with
BG Group.
The Deepsea Stavanger will be used for Tanzania's first deep water drilling campaign. Delivery from the yard DMSE
South Korea is expected during July with the contract scheduled to commence during August. The contract duration
provides for two firm wells with the possibility for a third. The contract value is approximately US$50 million.